Azam tv hawana lolote


Nilishawahi kujiuliza hilo, mikoani issue hii ya ving'amuzi wala hawana mzuka nalo maana cable TV ina channel bomba na ligi tamu zote unapata tena kwa Tsh10000/- kwa mwezi. Hadi sasa hamna king'amuzi chochote hapa Tanzania( DSTV haihusiki hapa) ambacho kinafikia CABLE TV( I stand to be corrected).
 
escober said:
chaneli za dini hakuna halafu monthly payment ipo juu

Siamini KAMA ZA DINI ZITAINYESHWA, Msimamo wa KIIMANI wa MWENYE TV kamwe HAWEZI KUONYESHA VIPINDI VYA DINI FULANI(mnaijua sana). Kwahio bora hata vya dini yake visiwepo kuliko kuonyesha na hio ASIYOIPENDA, subirini ianze MTAONA ukweli wa haya nisemayo!
 

Mwanzo mgumu mkuu, si mbaya kwa hatua aliyoanza nayo
 
TING wana upinzani gani ndugu?

Ting hana upizani wowote, visumbuzi vyao tumesha vitupa, walikuwa wananipigia simu nikawambia msinipigie tene mimi sio mteja wenu kidude chenu nimeshakitupa, watu tunataka burudani nyinyi mnatangaza dini! kwani makanisa yalipo hatupajui!.
 
Hivi TCRA si walisema king'amuzi chochote kile sharti kiwe na local channels zenye leseni ya kuonekana taifa zima?

Sasa inakuaje IPP Media wamegoma kuingia kwenye hivi ving'amuzi vya azam?
 
hicho king'amuzi cha azam kinauzwaje? na subscription ya kila mwezi ni kiasi gani?
 

sisi wa songea km kawaida cable
 
Hivi TCRA si walisema king'amuzi chochote kile sharti kiwe na local channels zenye leseni ya kuonekana taifa zima?

Sasa inakuaje IPP Media wamegoma kuingia kwenye hivi ving'amuzi vya azam?

wao waliingia mkataba na vingamuzi vitatu tu. Azamu haipo
 
sure kwa kweli hawajaweza kukata kiu ya kupata channel nzuri kwa bei nafuu hapa naona kama star times tu nyingine!! DSTV ni ghali lakini ndio the ultimate viewing experience!! kama kisembusi hakionyeshi ligi ya uingereza, formula 1, au NBA au siwez pata boxing channel kwa kweli cwez kipenda icho kisembusi!!!
 

hapo umesema na pia ajaribu kufuatilia na kuongeza free to air channels nyingine kama cnn,cctv,press tv,bet,france,arirang,japan etc
 
uliunganisha bei gani? Mi huku ktaa cable hata haijaenea ipo kama mita mia6 hv!

ni elfu 60 kwa mwezi elfu 10. Mipira yote ipo, wanyama,muvi,muziki nk. Zamani ilikuwa elfu 40 sasa ndo hiyo
 
Mkuu kama hawana lolote na hizo ulizo weka kwenye list ni kitu gani? Au wewe ndio mmiliki wa DSTV.
 
Kifurushi cha Killi cha Startimes kinacho uzwa 40,000 + chanel 2 za bure,Azam anakiuza kwa 12,500 +chanel 9 za bure...Muda c mrefu mchina atarudi kwao
 
kwa hapo kweli hakuna jipya mbona coconut digitol wana kingamuzi kizuri tu chanelu nzuri unapata na epl uefa hata la liga unaona hawa wengine wababaishaji tu kama kuna katuni waache watizame wao tu sawa mkuu?

za kibongo zipo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…