Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

suala nikuusoma mchezo azam ni mzawa anajua alichokileta mgeni na vp atamshinda mzungu na mwarab.....SUALA sio tu kulenga upande wa internet mana huko utawapata vijana tena wamjin wajanja masuala ya internet...huko vijiji ni mambo ya dkk labda na sms kidogo so hapa ni mambo ya GHARAMA NAFUU....Mbongo anajulikana tunataka makubwa kwa gharama ndogo yan mteremko.....mtu km mm dkk situmiagi kabisa ni sms tu na mb so nikijiunga sms za mwez 1500 bas kinachofuata kila siku ni 300mb/500tsh/day tigo kunitoa hapa ni rahisi tu just kuwa cheap zaid au kupewa zaid izo mb umenipata bila kusitasita...krb AZAM uje kimapinduz kwel tena kiuhakika...UNAKOENDA AZAM UTAFANYA NEMBO YA TAIFA TUPAKE RANGI ZAKO PENDWA KAMA SIO KUWEKA NA KALE KALOGO KAKO KABISA..JOKES
 
IMG-20180703-WA0031.jpg
 
Hamna kitu, hao azam nao watakuwa wababaishaji tu...
Walikuja smart, sijui vimitandao gani, vikaishia kugawa line tu...
Halotel iliyokuwa inasifiwa sasa wateja wanaugulia maumivu...
Hiyo biashara ni ngumu, azam hawezi kuleta hayo mapinduzi yanayosemwa eti ameshajifunza...
Na wale wazee wa ...ILE PESA ITUME KWENYE NAMBA HII.... walio wengine wanatuma sms za namna hiyo kupitia namba za Halotel
 
Hawa voda sijui vipi just imagine unanunua GB 2 kwa buku 10 siku 7 kama sio wizi ni nini
 
nasema hivi wanaojifanya wabishi watapata tabu sana,huwezi kuniuzia bundle la elfu mbili kwa 24hrs harafu unapunguza speed.njoo azam tukupe kazi nawewe.hawa wengine naona wanaumba matumbo ya kuharisha tu.
 
Ikitokea mie pia nitahamia huko sababu hawa wengine wanakera mnooo. Ubabaishaji mwingi na wamelevywa na wingi wa wateja.

Yaaaani, wanakera si kidogo my dear acha tu jmn.

KIOO jiandae ikitokea nitahusika kukununulia ya kwako. Hahahaaaa.

Woooooow, thanks my loveliest I can't wait kwa kweli ntafurahije mwaya. Thanks love.
 
Back
Top Bottom