KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
Waje tu... Hawa watatoa huduma haswaaa
Ni suala la muda tu wala usjali mkuu.
Ipo njiani hii. In Shaa Allah.
Waje tu... Hawa watatoa huduma haswaaa
V.. Com hiyo
Inaiba kwelikweli
Hapo ni lazima tu wale wenye Makao Makuu yao Makumbusho, zamani Mlimani City na Morocco ' mataa ' wataamua Kuunganisha ' Majeshi ' yao ili wapambane nae na hasa kwa Kumuhujumu na sidhani kama Azam Telecom ( T ) Company ' watatoboa ' Kiufanisi.
Ushauri wangu wa bure tu aachane na hii nia kwani nina uhakika hata afanyeje hatowaweza waliomtangulia na ambao wanalijua ' game ' vilivyo halafu pia wamekwiva kwa ' Figisu Figisu ' zetu za Kiswahili. Hata alipoanzisha Klabu yake ya Azam alituambia kwamba anataka kuifanya iwe ya Kisasa na ifanye vyema matokeo yake ndiyo imezidi tu kuwa ya Kiswahili na kuingia katika ' Upuuzi ' ule ule wa ' Waswahili ' akina Simba na Yanga.
Bora atujengee tu Gesti / Loji za Bei nafuu ama zinazoelekea kuwa bure ili Watanzania tuweze ' Kubanduana ' vizuri kisha tupeane sana Mimba ambapo hao Watoto watakaokuwa wanazaliwa wanaweza pia wakaja kuwa Wafanyakazi wake wazuri katika Viwanda vyake mbalimbali na akafaidika maradufu.
Mkuu umemalizaWaanze kujiandaa kiaaikolojia maana Azam watatoa bando na juice
ulinipaga msaada ww Ndugu Mungu akubariki sana ila ni muda sana aise.In Shaa Allah vuta subrah tu mkuu.
Hahahaha umeona eeHahahah.
Nimeipenda hii aisee wee kweli black sniper umelenga penyewe mkuu.
Wale jamaa si wana chips bundle sasa chips bila ya juice haiendi kwa hiyo sisi tutashushia na juice bundle mkuu.
Ni Hatari Sana.
Biashara upinzaniMkuu umemaliza
Ni heri shetani unayemjua kuliko malaika unayesimuliwaIkitokea mie pia nitahamia huko sababu hawa wengine wanakera mnooo. Ubabaishaji mwingi na wamelevywa na wingi wa wateja.
KIOO jiandae ikitokea nitahusika kukununulia ya kwako. Hahahaaaa.
Hili nalo nenoAzam ahakikishe kwenye biashara yake ya Azam tel hatochukua Wateja wetu wa TTCL otherwise anachezea ndevu za Simba
ulinipaga msaada ww Ndugu Mungu akubariki sana ila ni muda sana aise.
Kwani itaanza lini
Ije tu
Imependeza ila bango mbona kama sio halisi (photoshoped)?? Au macho yangu???