Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Azam Mobile Telecom ni chaguo jingine kwa mlaji (consumer)

Nadhani itakuwa macho yako tu mkuu.
Basi ni vyema, ngoja tusubiri ujio wao ili tuteleze na kuserereka na vifurushi vyao vya 4G ambavyo bila shaka vitakuwa vya bei poa kabisa kama ice cream zao zile za kurambaramba.
 
Basi ni vyema, ngoja tusubiri ujio wao ili tuteleze na kuserereka na vifurushi vyao vya 4G ambavyo bila shaka vitakuwa vya bei poa kabisa kama ice cream zao zile za kurambaramba.

Ni kweli unachosema mkuu vifurushi vitakuwa vingi na kila kimoja kinamzidi mwenzake, unaonaje ukipewa siku moja katika wiki au katika mwezi kutumia bure kabisa line yako iwe kwa kupiga simu au internet...?

Nisikuibie sana tuvute subrah tu mkuu.

Ahsante.
 
Hata kama ila shetani atabaki kuwa shetani na malaika atabaki kuwa malaika tu mkuu.

Ahsante.
Kwa malaika unayemjua sawa... Lakini si wa kusimuliwa... Usikute anayekusimulia ni shetani mwenzie
 
halotel walivyokuja mlisema maneno haya-haya na mkanunua line zao ila baadaye mkazitupa kimya-kimya.

Usitarajie kwa AZAM MOBILE itakuwa kama hao wengine kiongozi hii itakuwa na utofauti wa kipekee mkuu.

Vuta subrah tu utaona mkuu. Ahsante.
 
Hahahaaa. Ila Kiswahili hiki. Duuh [emoji85] [emoji85]

Haya bana KIOO.

Mbona kiswahili kimenyoka kabitha jomoni my. Tena nimetumia kiswahili cha Nyerere kabitha mwaya. Hahahah.

So Lovely my.
 
Mbona kiswahili kimenyoka kabitha jomoni my. Tena nimetumia kiswahili cha Nyerere kabitha mwaya. Hahahah.

So Lovely my.
Hahahaaa. Unajua nimemaanisha nini yaani unaweza andika kitu ila tafsiri yake ikawa zaidi ya moja. Na ndio ilivyo kwa nilichokiandika na ulichokiandika weye pia.

Hahahaaaa. Haya bana ila nitakununulia wewe kwanza hiyo SIM Card kisha ndio nimnunulie huyo mwingine.
 
Back
Top Bottom