FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
13,570
Reaction score
38,281
Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.

Simba inaingia katika mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yake yote mitano iliyopita ya ligi na kukusanya pointi 15, na kumfulumusha mpinzani wake katika ligi ya mabingwa magoli 6 na kuweka rekodi ya dunia.

Tegemeo la simba lipo kwa mshambuliaji hatari machachari
Mfungaji bora wa NBC DOUMBIA

NB:SIMBA AKIFUNGWA NIPIGWE BAN LA MWAKA
IMG-20260916-WA0023.jpg

Kwa namna yoyote ile ilimradi ‘boli itembee’ 🔥29’Azam 0️⃣-0️⃣ Simba@tanfootball @ligikuu @nbc_t.jpg
 
Klabu ya Simba Sc leo, Septemba 16, 2026, inatarajiwa kushuka dimbani kukabiliana na Azam Fc katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Premier League msimu wa 2026/27.

Simba inaingia katika mchezo huo ikiwa na rekodi nzuri baada ya kushinda michezo yake yote mitano iliyopita ya ligi na kukusanya pointi 15, na kumfulumusha mpinzani wake katika ligi ya mabingwa magoli 6 na kuweka rekodi ya dunia
Tegemeo la simba lipo kwa mshambuliaji hatari machachari
Mfungaji bora wa NBC DOUMBIA

NB:SIMBA AKIFUNGWA NIPIGWE BAN LA MWAKA View attachment 3671587
Azam wanacheza kwa maelekezo, okay simba 2-0 Azam.
 
Back
Top Bottom