Amefanya faul zaidi ya 5 na moja aliyomanyia Mpanzu ilistaili red ya moja kwa moja.Sijaelewa kwanini Himid mao mpaka sasa yuko uwanjani.Jamaa anafaulo za kipumbavu sanaa
Si huwa wanalisema li Himid kwamba lizee! Wacha wapambane nalo!Heri sassi anasubiri hadi Himid Mao aue mtu uwanjani ndio ampe Yellow card sio