Ntale Masuke kwa kauli hii umesalimu amri kwa Yanga.
Mkuu kwa mzunguko wa kwanza hakuna siri, maana imebaki mechi moja hata kama tutashinda tutakuwa na pointi 24 tu wakati nyie tayari mnazo 25 hata msiposhinda mechi ya mwisho hatuwezi kuwapita wala kuwafikia, sana sana tunasubiri round ya pili.