Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
- Thread starter
- #41
HT: Azam 2-0 RSS.
hawa mbeya city hawaaminiki kabisa. wanafanishwa na tukuyu stars mwaka 1986 walipanda daraja kwenda liji kuu wakatwaaa kombe msimu huo.Matokeo haya yaendelee hivi hivi hadi mwisho.
kama hamjibu unategemea nifanyeje?mbona kuna mdau kanijibu tu fresh baada ya mimi kusema hovyo japo si tabia yangu?
Dak. 45 Azam 2-0 Ruvu Shooting, Kimwaga.
Matokeo haya yaendelee hivi hivi hadi mwisho.
Hawa Azam nao wanapenda sifa, kwa nini wasiishie goli moja tu ili ikitokea tumelingana pointi iwe advantage kwetu.
nyamb..fu unadhani kila ki2 ni mteremko..
Bao C chin 4 hapa!
Hawa Azam nao wanapenda sifa, kwa nini wasiishie goli moja tu ili ikitokea tumelingana pointi iwe advantage kwetu.
Mkuu kwa jinsi unavyoipenda Yanga wewe inawezekana uko tayari hata kukataa mwanao ikitokea anashabikia timu tofauti hasa Simba, unaweza kusema umebambikiwa na si damu yako kama ni damu yako kwa nini asishabikie Yanga.
K........ mbona una kimbelembele
Unamba poh enh?
We ndo unacheza
mcha...w we Unakinyumanyuma..
Nilipojitambua miaka ya 70 kaka yangu alikuwa mnazi sana wa Simba, niliamua kuipenda Yanga ili kuleta upinzani pale nyumbani. Nimekua na kufahamu zaidi kumbe Yanga ndiyo timu ya wananchi. Wanangu wote ni Yanga hivyo hao ni damu yangu halisi, sihitaji DNA test.
hawa mbeya city hawaaminiki kabisa. wanafanishwa na tukuyu stars mwaka 1986 walipanda daraja kwenda liji kuu wakatwaaa kombe msimu huo.
Hata sijaelewa, ndo lugha gani hiyo?