Azam FC v Ruvu Shooting FC

Azam FC v Ruvu Shooting FC

Mkuu na wewe siku hizi una maneno ya mipasho mno nataka nianze kukwepa post zako.

Next time ukwepe bila kuquote...Ama uniweke kwenye Ignore list mtani...

Sasa sijui mimi na wewe nani ana post za Mipasho...
 
CHELSEA YADUWAZWA: Yachapwa mabao 2-0 na Newcastle United katika mfululizo wa michuano ya ligi kuu soka Uingereza. Mechi yamalizika hivi punde St James' Park.
 
MATOKEO BPL: Fulham 1-3 Man U, Hull City 1-0 Sunderland, Man City 7-0 Norwich, Stoke 1-1 Southampton, West Brom 2-0 Crystal Palace na West Ham 0-0 Aston Villa.
 
Asante kwa kibwagizo Mkuu kbm.
 
Last edited by a moderator:
MATOKEO BPL: Fulham 1-3 Man U, Hull City 1-0 Sunderland, Man City 7-0 Norwich, Stoke 1-1 Southampton, West Brom 2-0 Crystal Palace na West Ham 0-0 Aston Villa.

Pale kwenye 7-0 umekosea nini? Labda 1-0! Kama ni wiki du, wale wajima wa pale Msimbazi wakae kimya hawana cha kujivunia, 5-0 ni za kawaida sana.
 
nilijua tutashinda tu kudos guys for made my day huku tatu kule saba mwaka huu..
 
MATOKEO BPL: Fulham 1-3 Man U, Hull City 1-0 Sunderland, Man City 7-0 Norwich, Stoke 1-1 Southampton, West Brom 2-0 Crystal Palace na West Ham 0-0 Aston Villa.

hizo wiki ni haatari tupu..
 
Hakika wasiozipenda YANGA NA ARSENAL mwaka huu mioyo yao MONGONYOMONGONYO
 
Back
Top Bottom