Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
- Thread starter
- #61
Mkuu kama wanao wana umri mkubwa sawa lakini kama ni wadogo utashangaa siku moja wanarudi toka shule wame badili timu ya kuishabikia.
Ni watu wazima tayari wamenilete vijukuu. Ni rahisi kwa Riz1 kuhamia Simba kuliko wanangu kwenda huko.