Safi sana yanga warudi nafasi yao.
Ingekuwa ni kuamua tu hata nafasi ya tatu wangechukua Coastal halafu ya nne Simba, Yanga wakae nafasi ya tano kabisa, tungepumua maana kila siku eti timu ya wananchi, wakati imejaza wahamiaji haramu kuanzia viongozi (Manji, Patrick Nagi), makocha (Ernie Brandts na Siwa) hadi wachezaji (Niyonzima, Kavumbagu, Kiiza na Twite).