Azam FC v Ruvu Shooting FC

Azam FC v Ruvu Shooting FC

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,490
Reaction score
2,104
Ni siku nyingine tena Azam FC wana kibarua cha kujinasua kutoka katika nafasi yao ya pili waliyoizoea katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Karibuni kwa Live updates Wakuu.

Final Scores:
Azam 3-0 Ruvu Shooting,
Mtibwa 1-0 Rhino Rangers,
Coastal Union 0-0 Mgambo JKT,
Mbeya City 1-0 Ashanti.
 
Timu ndiyo zinaingia uwanjani. Mechi inarushwa na AzTV kupitia Channel Ten.
 
buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa naomba azam asuluhu. hivi city wanacheza lini?
 
Azam tv huwa wanaonesha mechi zinazochezewa dar pekee?
sijaona wakirusha toka mikoani....
Naomba ufafanuzi kidogo wakuu
 
Ruvu vip mbona mnatuangushaaaaaaaaa
 
Bora Azam washinde mechi hii labda kebehi zitapungua hapa jamvini.
 
Bora Azam washinde mechi hii labda kebehi zitapungua hapa jamvini.

Wakishinda ni maumivu zaidi kwa Simba, Yanga anahitaji point 1 tu kumpiku ambayo Mbeya City wataipatia Yanga kupitia mechi yao na Azam.
 
Wakishinda ni maumivu zaidi kwa Simba, Yanga anahitaji point 1 tu kumpiku ambayo Mbeya City wataipatia Yanga kupitia mechi yao na Azam.

Haijalishi, bora tuishie kupata tu maumivu peke yake sio maumivu na kebehi za kutuzidi huku mkiongoza ligi, bora mtuzidi lakini hamuongozi ligi, wale wawili wa Azam ndetichia na mwenzake Kitoabu tutawakabili.
 
Last edited by a moderator:
Azam tv huwa wanaonesha mechi zinazochezewa dar pekee?
sijaona wakirusha toka mikoani....
Naomba ufafanuzi kidogo wakuu

nimeingia choo cha rais,kumbe hili jukwaa hamna muelewa chochote
 
Haijalishi, bora tuishie kupata tu maumivu peke yake sio maumivu na kebehi za kutuzidi huku mkiongoza ligi, bora mtuzidi lakini hamuongozi ligi, wale wawili wa Azam ndetichia na mwenzake Kitoabu tutawakabili.

Ntale Masuke kwa kauli hii umesalimu amri kwa Yanga.
 
Last edited by a moderator:
nimeingia choo cha rais,kumbe hili jukwaa hamna muelewa chochote

Japo mimi sio msemaji wao lakini kuna kipindi walitoa taarifa kwamba wanatarajia kuwa na magari makubwa ya kurushia matangazo mawili, moja kwa ajili ya Dar na lingine kwa ajili ya mikoa mingine, na kwa sababu haya magari ni special order walisema kwamba gari kwa ajili ya mikoa mingine halijafika bado, sikumbuki ni lini walisema litafika.
 
Back
Top Bottom