SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 929
weka link ya airbus yenye hizo habari.wakuu hii habari njema.. Hatimae azam hivi karibuni itashusha ndege 5 hii itasaidia tulio kuwa tunawategemea fastjet kuturaHisishia safari.... ruti zake ni kirimanjaro,mwanza,zenji,mbeya na mikoa baadhi...Kwa mujibu wa tovuti ya airbus
bakhresa ni shidaaah
nasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa
Usikate tamaa, ni mfanyabiashara tu yule hivyo kila jambo linawezekananasubiria kitu cha azam lager,azam kiroba na azam condom
shikamooo azam group of companies
naskia anataka pia kuilist azam group kwenye dar stock exchange na sie tununue share tuimiliki wazawa
Akishaleta hizo ndege atakuwa ame bakiza
1, Usafiri wa mabasi
2. Usafiri wa treni.
BIG up Bakressa, utajiri wako watz tunauona ukiinua uchumi wetu tofauti na wale mafisi wanakwiba fedha zetu na kuficha ughaibuni.
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!Bakheresa mzalendo. Wajinga kama kina vijisent na kikwete wanaiba wanaenda kuficha hukoo. Jamaa anakula hela na investments zake. Mungu amjalie zaidi awasaidie waty wa tanzania.
Wajinga utawajua tu!!!
Utakua unatumia vibaya uhuru wako!
Mh. Kikwete binafsi hajawahi kutajwa kwenye upotevu wowote wa pesa za umma wala hajajimilikisha chochote ktk Mali ya umma.