ayaaah ningeijua mapema hii dah!

1004725_10151726953458885_458940435_n.jpg
ningesoma PCM mimi!
cc watu8 na Baba V

Mi mwenyewe nimesoma X Y Z
 
Last edited by a moderator:
sa ivi mwalimu wa hesabu akirudi home toka kazini unajiskiaje???? (Ni swali tu)

ahahahahhahhahahha yani we acha tu!
kipindi kile mwalimu wa hesabu nikimwona anakuja darsani nilikuwa naumwa kuanzia shingoni kupanda juu!
siku hizi mwalimu wa hesabu nikimwona anarudi nyumbani napona kuanzia kiunoni kushuka chini!
mwenyekiti sipendi uchokozi!
 
Back
Top Bottom