ayaaah ningeijua mapema hii dah!

Lol ningeijua hii zamani mbona darasani wangenikoma . Nilipokua darasa la tatu ilinisumbuaje table ya tisa kuiweka kichwani.Asante sana kwa ugunduzi huu nitawafundisha wanangu.

tebo ya tisa ilikwa mwisho wa reli bana!
nimekla sana ubapa wa rula kweny vidole (nilikuwa namchukia kakangu mkubwa(R.I.P cuth) kwa haya makitu ya kunizalimisha(nilikuwa nasema hivo hivo) kushika tebo!
angenifundisha kwa njia hii mbn angekuwa bonge la best yangu!
 
we acha tu watoto wa leo wana raha sana maana wana njia nyingi za kurahisisha maisha . Kipindi chetu hata haya mambo ya computer ilikua bado ndoto. Nakumbuka hata tv hazikuwepo. Yaani njia hii ni nyepesi sana hutumii msuli eti . Nilikua namchukia sana mwlm wa hisabati hasa akiingia asubui na chemsha bongo yake nakumbuka alikua akifika tu mlangoni anaanza haya tebo ya pili hadi 12 anza kuimba sasa mimi namumunya maneno ikifika tebo ya 9 si akanigundua alinitesaje.
 
mi nilikuwa nikimwona mwalimu wa hebabu walahi naanza kuumwa !sijui kwanini!
ehehheheh halafu nimekuja kuolewa na mwalimu wa hesabu sasa!what an irony!mwe!
 
1004725_10151726953458885_458940435_n.jpg
ningesoma PCM mimi!
cc watu8 na Baba V

Hiyo kwangu niliigundua nikiwa darasa la nne,na siku hiyo niliambiwa kabisa na baba leo tunajifunza orodha ya tisa nikirudi kazini nikukute unaiimba na kama hutaweza basi andaa kabisa fimbo.Basi mchana kutwa nilikuwa nayo mpaka nilipogundua hii siri,we aliporudi mwenyewe alishangaa na ni orodha ambayo ilikuwa rahisi kwangu kama ya 2,5,10,na ya 11
 
Back
Top Bottom