Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,953
- 93,931
Ha ha ha..Four Figure uko wapi? Nimekumiss...
Sio ile tebo ya kuzidisha nyuma ya daftari lenye picha ya Ngalawa mbele...
Ha ha ha..Four Figure uko wapi? Nimekumiss...
Sio ile tebo ya kuzidisha nyuma ya daftari lenye picha ya Ngalawa mbele...
Nakutamania unavyocheka!
Mi sijachekeshwa tangu juzi !
kukagaliwa....
Sio ile tebo ya kuzidisha nyuma ya daftari lenye picha ya Ngalawa mbele...
Duh...!! Hii table tulikuwa tunakaririshwa vibaya mno.
Maisha yalikuwa magumu ilipokuwa ikifika tebo ya 11 na 12...
ha ha ha haaah!! Tebo ya kwanza na ya kumi zilikuwa mteremko sana...
Una ma ex wangapi wewe...? Ndo maana una VVU
embu ngoja nikuulize Nyani Ngabu unadhani Bishanga alienda china kufuata nini ? Shauri yako akikasirikaga huwa anamuingia mtu puani kila unavyo pyenga ndo anazidi kupanda kwnd kwenye ubongo.
mmwagie CV zako ndo aamini kuwa we si mchezoz.We mwache namvutia spidi nimg'oe kucha
Mimi ndio King Mswati wa JF, wengine fotocopy mkuu.Unao wangapi ulio na mpango wa muda mrefu nao?
anataka kukaguliwa?
Mpaka ma-x unawataka...lolsMwache ex wangu.......
Waaacha weeMimi ndio King Mswati wa JF, wengine fotocopy mkuu.
Lol ningeijua hii zamani mbona darasani wangenikoma . Nilipokua darasa la tatu ilinisumbuaje table ya tisa kuiweka kichwani.Asante sana kwa ugunduzi huu nitawafundisha wanangu.