Ndugu yangu umegonga kwenyewe, nilipoangalia hiyo website ya hao jamaa wa Learn IT nikakuta kuna elimu inaitwa International Diploma, kweli nilichoka kweli kweli, kwa sababu katika Marekani diploma ni cheti unachopata baada ya kuhitimu elimu fulani. Kuna high school diploma, Associate degree Diploma, College Degree Diploma, Graduate degree diploma, n.k.
Hakuna hakuna kitu kama international degree, international diploma au international certificate. Ukitambulisha digrii yako, lazima vile vile uonyeshe uliitoa chuo gani. Angalia, watu wanatambulisha elimu ya Obama kuwa "a graduate of Columbia University and Harvard Law School"
Hii system mpya basi bongo......nijuavyo hakuna diploma ya mwaka 1 na adv diploma tanzania......diploma ni miaka miwiloi na adv diploma ni miaka mitatu.....
sasa iweje wewe usome miezi 12 upate diploma? hivi ndio tunaita vyuo vya mtaani....kwanza umeangalia qualification ya kuingia kwenye diploma kwanza?
nenda hata CBE leo na o level ya division one uone kama utakubaliwa ku join diploma....hapo unaanza na certicate mwaka 1 then ndio unaenda diploma miaka miwili.....muulize Ally mayai alianzia wapi....au Bonny pawasa..wale woote walikuwa form 4...
wewe kusoma pale na kupata kazi nzuri siahangai kwa system ya tanzania.....washangaa nini kama jabir kigoda form 4 feliya alikuwa "kizito' BOT.....
Kuna mtu mmoja amezungumzia kuwa vyuo hivyo vya mitaani vinatoa MSCE kwa hiyo vinafundisha vizuri.
mkuu hii imeniacha hoi....sasa iweje watanzania washindwe kuchezea window server 2003 wachina,wahindi,wamalaya waweze? si kiasi cha kukaa nayo tu miaka miwili mkuu? kisha unalamba certificate.....watalaam wa it watanisaidia sijui kama ni rahisi kihivyo....Lakini anashindwa kufahamu kwa MSCE siyo elimu ya juu bali ni ujuzi wa kutumia Windows Server za Microsoft tu. Microfost wenyewe wanaonyesha kuwa unachotakiwa ni experience ya kutumia windows server kwa miaka miwili: angalia kwenye linki hii hapa. Unaweza kukaa nyumbani kwako ukachezea windows server yako kwa miaka miwili hadi ukaielewa kiundani, na hivyo kujipatia MSCE bila kuwekwa darasani na mtu yeyote.
Angefanya utafiti wa kutosha angegudnua kuwa kuna MSCE certificate nyingi zinazotolewa mitaani lakini hazitambuliwi na Microsoft; kwa mfano, angalia kwenye link hii hapa.
Hapa kaazi kwel kwel yaani mtu alikosa credit hata za kuendlea na advance levell kapasi vizuri, huyo dogo alifeli Ifunda na ana D mbili tu kwenye cheti chake, hata alipokwenda Forest morogoro hakudumu hata mwezi mmoja alishindwa masomo, kifupi vyuo hivyo va mitaani ndio mahala pake hana ruhusa hata ya kufanya shoo Nkrumah hall nyambaf..
ni sawa tuseme wachaga wanajua biashara.....mkuu haipingiki india wako juu kwa IT,business na fani za kitabibu.....sidhani kamaa kuna nchi barani africa na nyingi ulaya unaweza kulinganisha development ya IT n india.....hta majuu mkuu tunaona n kusikia kule silicon vllley wameja a wahindi na wachina.....na ni majuu kule.....
ukiangalia software engineer wengi ni wahindi....ila ndio wananunuliwa na wazungu...founder wa hotmail ni muhindi na wengine wengi...hata mshauri wa Obama wa IT ni muhindi.....ni ukweli usiopingika wenzetu wako juu.....apart ya chap labour huko india microsoft,IBM,DELL na kampuni kubwa za software wamehamia India....kwanini wasifungue matawi Holland,Poland au saudia Arabia?....
mkuu kwani quality ya elimu bora wewe unaipima kwa fee kuwa juu? au? kwa mujibu wako rafiki yako kasema fee ni $700 ambayo ni chini ya udsm na vyuo vingi vya tz so ina maana quality ya elimu tz iko juu mara dufu zaidi ya india au malaysia,sio? ulizia hapo learn It wanalimwa shilingi ngapi?btw elimu bora haipo UK,USA au canada.....kw sababu tu fee yao ni ghali
mkuu tafuta data za wahindi kukimbilia majuu....pia angalia je kimbilio kubw majuu ni undergraduate au post.....wamarekani wako china na south korea kwa tarifa yako wanalishwa shule ya IT.....ulizia mtu alieko Seoul atakuambia....alafu ujue kukimbiliaa majuu wengi wanafataa pay kama beijing,Soel au newdelhi wangewalipa vizuri wasingekuja majuuu
ni katika kuweka sawa
tehe tehe sijapitia huko mkuu.....si unajua mambo ya ku google....kuna member humu anaitwa KILONGWE anakula shule uchinani labda atatueleza mengi zaidi...Kama nina hela mwanangu ntampeleka asome shule ya "maana" kunako.. kama sina atabanana Sikinde na watanzania wengine hapa hapa....hii longo longo ya kwenda kusoma India sijui China...hapana...tutaanza kwenda kwao baadaye..siyo sasa hivi..
Hakuna chuo kibaya bali kuna wanafunzi wabaya au hata walimu.....kokote msuli unatoka, ud ni chuo kizuri? Watu wanakaa chini hadi juu ya mti kusikiliza leacture?
shem masanja......angalia kule uchina ambapo elimu yake huiamini huyu mkulima kaweza kutengeneza ka ATC kake...
YouTube - Broadcast Yourself.
Mukulu YoYo mbona umeongea ukweli tu kwenye hii thread? sidhani kama hii ndio imeleta lile balaa kule mitaa mingine.hii thread imelata balaa bwa ha ha ha .....AY tafuta chuo cha maana usome.....hivyo vyuo vya degree ya mwaka mmoja achana navyo....
Ila jamaa wapo PRACTICAL kweli sio theories na kusoma masomo mengi husiyohitaji kama UDSM
would you suggest this college to your son, daughter or close relative?
hii thread imelata balaa bwa ha ha ha .....AY tafuta chuo cha maana usome.....hivyo vyuo vya degree ya mwaka mmoja achana navyo....
would you suggest this college to your son, daughter or close relative?