Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,513
- 5,135
huyu jamaa aliliwa KABANG, kwa sababu machalii walimkuta anasongesha guy mmoja hivi, ndio alipoundiwa a half marathon ya watu kula KABANG, sasa zote ni hasira, ila ndio hivyo tena haisaidii kitu watu walishajiungaga kifurushi
Hakuna hukumu yoyote ishatoka na hakuna mtu kalipwa chochote!
Na plus,kama madai ni 2.1Bilioni,then wagawane watu watatu halafu mmoja wao akanunue nyumba ya 1.5Bilion Los Angeles California?Mlisoma hesabu chooni?
You people what are you smoking?