Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Mkuu zitaje na utoe locations na particulars then sisi tutajua jinsi ya ku-prove!AY ana bizness zake hapa mjini na kawekeza sana kwenye ardhi toka kitambo ndo maana hata mziki anafanya kitajiri siyo kwamba unamlipa sana alijiandaa mapema sana.
1.Ardhi tutachungulia ardhi kule
2Makampuni tutachungulia Brela na TRA na benki accounts
3.etc
Taja hizo biashara moja baada ya ingine!
Tutajua jinsi zinavyojenga pesa kiasi kikubwa namna hiyo inayofanya atoe audio ashindwe hata kutoa video ya wimbo wake mpya wa leo!