Mkuu
Habari za kulipwa umezipatia wapi?
Last time,Tigo walikata rufaa!
Sana sana uniambie labda walisettle out of court!
Na kumbuka ndani ya kesi walikua wanadai kitu kama 3Bilioni...nje ya mahakama ni lazima wapate chini ya hiyo,tuseme 2Bilioni....
Sasa hiyo wagawane watu watatu,yaani AY,Msando,MwanaFA,pia Kodi,Producers wa hiyo miziki,gharama za kesi,etc!Ay anawezapata 500mill net...
ndio ukanunue nyumba ya 600,000USD kwa upumbavu wa 500mil TZS?Hivi nyumba ya 1.5Bilioni hua inanunuliwa kwa 500milioni?Mlienda shule wapi nyie?
Na ujue ni kiki,sio yeye mwenyewe tu ndio angelipwa,wangelipwa wote,mbona Msando na MwanaFA wanasaga vumbi tu yeye ndio awe mambo safi na show off nyingi namna hii kama sio kiki ya hiyo single ya SAFARI?
Go and lie to kids,we are grown ass men here!