Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,419
Halafu jamaa anaona ishu kubwaa mi huwa natizama Chanel inaitwa Fine living Azam kuna miji USA unapata hadi nyumba za dola 100000 so sio ishu sana
Mkuu,nyumba wanasema kanunua Los Angeles United State of America na sio Oklahoma au Oregon huko madongo kuinama!
Nataka tuelewane hapa!
Uongo ni kitu kibaya sana....
Kama mpo true sana,toeni address ya hiyo property tuwaletee ownership yake hapa tumalize utata!
Kiki za kisenge sana hizi,na zinamfanya AY aonekana hana tofauti na Hamorapa hata chembe!