Award Verification Number (AVN) updates

Hivi kama mtu kasoma foundation , je inawezekana kupata AVN number from that foundation certificate ?
 
Hivi kama mtu kasoma foundation , je inawezekana kupata AVN number from that foundation certificate ?
Nadhani watakuwa na utaratibu wao ambao hauwalazimu kuwa na kizungumkuti cha avn za Nacte...!Kuna kila sababu ya hiki chama cha zamani,kizee kuondoka mamlakani...!Siyo kwa tabu hizi tunazozipata katika ardhi ya nchi yetu...!Naomba tu niishie hapa,maana nahisi kutapika nyongo...!
 
Uliiomba avn kwa njia hipi...!Kwa mtandao au physically ofisini(Nacte)
Niliomba kwa online ikawa inagoma siunajua hizi website za serikali haziko vizuri ikabidi tuende Nacte wao waka update then tukarudi nyumbani tukamakizia nyumbani na kutumiwa control number na kulipia then tukapata AVN
 
Ukienda nacte ni elfu kumi but ukifanya online umaambiwa ulipie elf 20
Tulijaza wenyewe kila kitu Nacte wakaenda tu ku update labda Hawa wasasa mda ulioongezwa ndio kubwa, but I wonder kwanini kusiwe na database moja iwepo vyuo vyote kuliko kusumbua watu
 
Heshima yenu wana JF, Naomba kuuliza..Ivi kwenye website ya nacte pale kwny page ya student verification ikiandika kuwa
semister 1- Confirmed
semister 2- Submitted
Ina maana kuwa matokeo yangu ya semister 2 wameyapokea ila bado yapo kwenye process au, sababu nahitaji kufatilia AVN mapema niapply second round ya vyuo vikuu, Majibu yenu tafadhali, nashukuru..,
 
Kama matokeo yako yote yako submitted, kazi iliyobaki ni kuwa confirmed then verified na upatiwe AVN.Hakikisha semester zote zinasomeka Nacte.kama yapo yote,wakichelewa ku confirm basi fika ofisi za Nacte ili upate avn kwa uharaka zaidi.
 
Asante sana kwa kunipa muongozo
 
Back
Top Bottom