Niwapongeze sana nyote wenye avn mkononi mpaka dakika hii...!Hii kitu ni pasua kichwa aisee...!Hapa nadhani kuna shida mahala,si bure.Jinsi mchakato unavyo endeshwa mpaka ipatikane AVN,either mfumo unao tumika pamoja watu husika kwa maana ya vyuo na Nacte no one wants to be responsible.Kuna muda Nacte wanasema vyuo vinachelewa kutuma matokeo,wakati mwingine chuo wanasema walishatuma matokeo.Hivyo kama muhitimu unabaki katikati,ujui nini la kufanya.In this matter,kwa sehemu kubwa sana vyuo havipeleki matokeo kabisa Nacte.Hii nime prove kwa chuo nilipo somea,hawakuwa na mpango wa kutuma matokeo,tumepambana nao kwelikweli.Mpaka wamenyooka na sasa wamepeleka hayo matokeo.Kwa upande wa pili,nisijue Nacte wanakwama wapi.Maelekezo yao ilikuwa kila chuo kinachotoa diploma holders lazima kila matokeo ya semester,yawe uploaded kwenye mfumo wa Nacte ili yawe verified on time.Matokeo yake vyuo havifanyi hivyo,mwanafunzi anapiga miaka yake mitatu au miwili anamaliza na matokeo yake hayasomeki hata ya semester moja kwenye system ya Nacte.Nacte wapo na ni jukumu lao kuvisimamia hivi vyuo ikiwemo na kuhakikisha vina upload matokeo kama maelekezo yao yanavyo elekeza.Kwa wale ambao hamjapata hii AVN kama mimi,mzidi kupambana hasa komaeni na vyuo.Wale wanao kwenda Nacte moja kwa moja na kupewa AVN,matokeo yao yanakuwa tiyari yapo kwenye system yao.Inaweza kuwa sababu za kiufundi yakawa hayasomeki katika njia ya kawaida lakini wao wakicheki wanayaona.Kila laheli.....!