Award Verification Number (AVN) updates

Award Verification Number (AVN) updates

Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
Ofisi zao zipo wapi? Physical Address.
 
Ivi naweza kuapply hata kama sijapata AVN? halafu baadae nikiipata ndio nije niiweke maana kesho ndio mwisho wa application halafu bado giza nene kupata AVN hadi sasa
Mkuu bila AVN hutaweza kuchaguliwa chuo
 
Ni kweli,aende tu ofisi za NACTE atapata msaada haraka
Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
 
Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbani
Sasa kuna wengine wanaishi mbali na ofisi zao kuu hata za kanda.. So gharama yote hii nani ataweza.. Ni kuwapigia tu...
 
Duuuh, kweli mkuu we ushawahi kujaza/kuomba..?
Nilimuombea ndugu yangu na nikafata procedures zote had attachment Ila ikawa inasumbua ikabidi aende NACTE ndio Kuna number wakampa na ku update ndio akapata control number alivolipia ndio akapata hyo AVN. System yao mbovu na alipoenda kule kumbe NACTE ndio walikuwa hawaji update kwenye system yao
 
Daaah, hawa watu hawako serious na maisha ya vijana kabisa.
Sasa mkuu naamini una-experience katika hill, attachment ya cheti au transcription unascan ile original au copy yake ndo unawatumia..?
 
Back
Top Bottom