Ni mwaka huu aua miaka ilizyopita..?
Mliopata AVN mwaka huu hebu tujuzeni,,, mlipata bure au mlilipia fedha..?
Unaweza kuapply bila AVN na ukafanikiwa? Kuna mtu anasumbuka sana na deadline ya Chuo imekaribiaAcha kabisa mkuu, na utaalamu wote wa haya mambo ila ile siku nilichemka.
Nikasema isiwe shida, ngoja tu niachane nao.
Bahati nzuri nikafanikiwa kuapply pasipo hiyo AVN.
Mkuu mtu ambaye nilimsaidia kuapply, leo ameingia ktk tovuti ya chuo ameambiwa ombi lake limakataliwa sababu hakuna AVN.Unaweza kuapply bila AVN na ukafanikiwa?kuna mtu anasumbuka sana na deadline ya Chuo imekaribia
Ok, asante mkuuMkuu mtu ambaye nilimsaidia kuapply, leo ameingia ktk tovuti ya chuo ameambiwa ombi lake limakataliwa sababu hakuna AVN.
Unaweza kuapply bila AVN na ukafanikiwa?kuna mtu anasumbuka sana na deadline ya Chuo imekaribia
Poa mkuuHaiwezekani mkuu
Hv ni lazima awa-upload na transcription ndio update AVN..?Mbona mm nimepata tena now dayz hausubiri ni chap tu dakika 3
Binafsi nililipa na haikuchukua muda nikapata.
Mbona mm nimepata tena now dayz hausubiri ni chap tu dakika 3
ata mimi mkuu nimepata
Niwapongeze sana nyote wenye avn mkononi mpaka dakika hii...!Hii kitu ni pasua kichwa aisee...!Hapa nadhani kuna shida mahala,si bure.Jinsi mchakato unavyo endeshwa mpaka ipatikane AVN,either mfumo unao tumika pamoja watu husika kwa maana ya vyuo na Nacte no one wants to be responsible.Kuna muda Nacte wanasema vyuo vinachelewa kutuma matokeo,wakati mwingine chuo wanasema walishatuma matokeo.Hivyo kama muhitimu unabaki katikati,ujui nini la kufanya.In this matter,kwa sehemu kubwa sana vyuo havipeleki matokeo kabisa Nacte.Hii nime prove kwa chuo nilipo somea,hawakuwa na mpango wa kutuma matokeo,tumepambana nao kwelikweli.Mpaka wamenyooka na sasa wamepeleka hayo matokeo.Kwa upande wa pili,nisijue Nacte wanakwama wapi.Maelekezo yao ilikuwa kila chuo kinachotoa diploma holders lazima kila matokeo ya semester,yawe uploaded kwenye mfumo wa Nacte ili yawe verified on time.Matokeo yake vyuo havifanyi hivyo,mwanafunzi anapiga miaka yake mitatu au miwili anamaliza na matokeo yake hayasomeki hata ya semester moja kwenye system ya Nacte.Nacte wapo na ni jukumu lao kuvisimamia hivi vyuo ikiwemo na kuhakikisha vina upload matokeo kama maelekezo yao yanavyo elekeza.Kwa wale ambao hamjapata hii AVN kama mimi,mzidi kupambana hasa komaeni na vyuo.Wale wanao kwenda Nacte moja kwa moja na kupewa AVN,matokeo yao yanakuwa tiyari yapo kwenye system yao.Inaweza kuwa sababu za kiufundi yakawa hayasomeki katika njia ya kawaida lakini wao wakicheki wanayaona.Kila laheli.....!nashukuru mdogo wangu amepata juzi na hapa tunakamilisha zoezi la kufanya application za chuo maana ijumaa ndio dirisha la kuomba chuo linafungwa
Unalipiaje mkuu? nimejaza taarifa sijaona sehemu ya namna ya kulipiaNdio sh 10,000 labda wabadili mwaka huu Ila miaka iko hvyo
Bado hujakamilisha attachment zoteUnalipiaje mkuu? nimejaza taarifa sijaona sehemu ya namna ya kulipia
Umeipateje? Umelipia ndio ukaipata? unalipiaje, naomba unielekeze namna ya kulipiaMbona mm nimepata tena now dayz hausubiri ni chap tu dakika 3
Nisaidie kunielekeza jinsi ya kulipiaBinafsi nililipa na haikuchukua muda nikapata.
Kama huna AVN baadhi ya vyuo huendi next stage, na vingine vinakupigia simu ukamilisheMkuu mtu ambaye nilimsaidia kuapply, leo ameingia ktk tovuti ya chuo ameambiwa ombi lake limakataliwa sababu hakuna AVN.
Nimeweka cheti cha Certificate, evidence ya matokeo ya Diploma niliyopatiwa na Chuo.Bado hujakamilisha attachment zote
Ivi naweza kuapply hata kama sijapata AVN? halafu baadae nikiipata ndio nije niiweke maana kesho ndio mwisho wa application halafu bado giza nene kupata AVN hadi sasaKama huna AVN baadhi ya vyuo huendi next stage, na vingine vinakupigia simu ukamilishe
Ndio ufatilie ofisi za NACTE maana system yao mbovu, haiko automatic maana ikikamilika kila kitu unakuja message ya control number unalipia unatumiwa hyo AVN. So bila kwenda NACTE utajuta wasumbufu my dogo langu alienda pale dakika sifuri wakamu update next procedure nikamsaidia nyumbaniNimeweka cheti cha Certificate, evidence ya matokeo ya Diploma niliyopatiwa na Chuo.
Hadi hapo kuna attachment gani bado zinahitajika?