Award Verification Number (AVN) updates

Award Verification Number (AVN) updates

Hv hapo kinachokuwa attached ni cheti cha form iv au diploma(transcript)..?
Inategemeana na sifa zako.

Kama uliingia Diploma kupitia Certificate, utatakiwa uweke Cheti cha Certificate, then matokeo ya Diploma.

Kama uliingia Diploma kwa matokeo ya form IV hapo haina haja ya kuweka cheti cha form four maana matokeo watayapata NECTA baada ya kuweka namba ya mtihani, then utaweka matokeo ya Diploma.

Hivyo ndivyo nilivyoelewa hiyo sehemu
 
Ivi je ata kwasisi tuliomaliza diploma mwaka huu tunaweza kufuatilia AVN na kuzipata then tukafanya application kaka!
 
Mbona simpo tu,Kuna dogo nimetoka kumfanyia hiyo process Ila bahati mbaya deadline za application za chuo zipo tamati
Umepewa muda wa masaa mangapi kusubiri verification ya hiyo process uliyoifanya kwa huyo Dogo..?
 
Daaah, hawa watu hawako serious na maisha ya vijana kabisa.
Sasa mkuu naamini una-experience katika hill, attachment ya cheti au transcription unascan ile original au copy yake ndo unawatumia..?
Vyeti vya kawaida una scan kuanzia form four, certificate na diploma
 
Nipo hapa NACTE tangu saa 4 asubuhi, kinachosikitisha ni kuwa wanafanya kazi taratibu sana. Imagine mtu mmoja anahudumiwa karibia ndani ya nusu saa.

Sijui kwa nini mfumo wao ni hovyo kiasi hiki.
Ukitoka njoo hapa utupe ulicho toka nacho huko,ili tupate mwanga...!
 
Back
Top Bottom