Avatar za akina dada

Thats right ngoja niangalie kazi itakayoendana na wewe ila yataka moyo.

Mi nataka kama ya kwako.....kuliko kufanya kazi zisizo na msisimko bora nifanye ngumu yenye kusisimua,ndo maana hakuna ufanisi nchi hii watu hawana msisimko na hawazipendi kazi zao....l.o.l.....nasubiri......
 
Avatar ya mtoa mada.................Nasikia ma sailor ndo wanavyofanyaga wakiwa kazini otherwise chombo kitaenda mrama!

Wakuu mimi nataka kubadili jina kwenye JF langu lakini nashindwa naombeni msaada wenu, sitegemei kejeli
Asanteni.
 
...............................................................
avatar34867_1.gif


Darling sikati viuno natafuta ugali wa watoto...............ila kweli avatar zingine dah uvumilivu utatushinda.

Joto mkuu... vumilia tu
 
Back
Top Bottom