Avatar za akina dada

Avatar za akina dada

as long as mtu havunji sheria ya JF aweke ile atakayo......watu wakiona haifai wamwambie au wawajulishe MODS ili atakiwe kubadilisha......
 
mtoa mada mwenyewe avatar yake inafanya matusi,toa boriti kwenye jicho lako.......
shost si kwamba avatar yangu inafanya matusi unajua kazi za melini bila kupuliza kidogo kazi haiendi.
 
We mbona avatar yako inakata kiuno... ndo ulivyo au we ni SAILOR?

...............................................................
avatar34867_1.gif

Darling sikati viuno natafuta ugali wa watoto...............ila kweli avatar zingine dah uvumilivu utatushinda.
 
Vivian avatar yako imenivutia hasa sizani nikisema I love you itakuwa kosa
 
Unatumia mwili mzima kupuliza Quinine???

.......................................................
avatar31740_18.gif

Michelle nikipuliza mwili mzima huwa unamsisimko wa aina yake na kazi napiga 24/7, ile avatar yako ya zamani ilikuwa inanimaliza kwa lile tabasamu.
 
Mualiko jamani wenye Avatar zenye mvuto Pretar Lina Rosa Vivian Mishelle darlinton Dorin nawakaribishakwenye pati karibun Swaziland
 
Hiyo kazi naitamani....ambayo ukiifanya una sisimka kwa aina yake....24/7 masuala mengine vipi???ile avatar niliitoa ati kuuza sura na yale meno......ila kwa kuwa ilikuwa inakumaliza nimekuwekea nyingine uwe unaiangalia pale unapopata dakika chache za mapumziko kwenye hiyo 24/7 kazi yako......ningependa kuifanya,wakitangaza kazi naomba sana unijulishe........
 
Attachments

  • clive_davies_party_79_wenn2728981.jpg
    clive_davies_party_79_wenn2728981.jpg
    29.1 KB · Views: 24
Vivian avatar yako imenivutia hasa sizani nikisema I love you itakuwa kosa

NTINGINYA kanyaga vizuri kuna wengine wanatumia avatar za kike kumbe ni dume la mbegu siku mkikutana sijui utapitia mlango gani.
 
Mualiko jamani wenye Avatar zenye mvuto Pretar Lina Rosa Vivian Mishelle darlinton Dorin nawakaribishakwenye pati karibun Swaziland

Nije kujipitisha uchi na bado usinichague jamani???
vipi lile suala la VIRGINITY hutaangalia?wewe ni sura tu????
tiketi za ndege nani analipa??:laugh::laugh:
 
Hiyo kazi naitamani....ambayo ukiifanya una sisimka kwa aina yake....24/7 masuala mengine vipi???ile avatar niliitoa ati kuuza sura na yale meno......ila kwa kuwa ilikuwa inakumaliza nimekuwekea nyingine uwe unaiangalia pale unapopata dakika chache za mapumziko kwenye hiyo 24/7 kazi yako......ningependa kuifanya,wakitangaza kazi naomba sana unijulishe........
Kazi zipo ila nawasiwasi kama utaziweza kazi za melini hakuna kulala, kumbuka injini ya meli huwa haizimwi.
 
Kazi zipo ila nawasiwasi kama utaziweza kazi za melini hakuna kulala, kumbuka injni ya meli huwa haizimwi.

Tunapokezana mimi na wewe,ukisisimka leo mi kesho......hamuhitaji volunteers??
 
Back
Top Bottom