Avatar yangu ndio tatizo au??

Kalugha kepesi wewe ni mrembo! you can correct mi!

yeah ukiniona lazima udate na mimi lakini nakushauri usinisogelee maana moja kati yetu lazima aliwe...
 

nimeipenda hiyo sana
 
Salito karibu sana JF, nimekutumia maombi ya urafiki. Karibu sana.
 
Hongera Salito, nafikiri sasa umetambua kuwa tatizo sio avatar, ilikuwa swala la muda tu. Karibu sana...nami nimetuma maombi ya urafiki......!

Be blessed.
 
nimekoment kwa sababu ya iyo avatar yako ..
 

Kuwa mvumilivu utapata tu.
 
Salito karibu sana JF, nimekutumia maombi ya urafiki. Karibu sana.
Mkuu uzi mzima umeusoma lakini kabla hujatoa maamuzi mazito? jamaa anasema ukimwona demu akivua nguo dume!
 

tuko bize na maombolezo ya memba mwenzetu da Regia.. jaribu tena badae..
 
Nimekubali urafiki na wewe B, ila sasa sijui tutapinga wapi na nani atakata. Sharti langu naomba unicheat manake mi kukucheat lazma (nna kwaresma ya kutenda dhambi bila kuhesabu)
King'asti,naomba tuwe marafiki,nakuahidi nitakuwa mwadilifu,no cheating!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…