<br />Kwako ze boss, Natumaini umzima na unajiandaa vema na weekend! Isingekuwa mbaya kama ningekualika futari siku moja tukiwa na familia yangu pamoja na mme wangu mpendwa! Nia hasa ya message hii naomba uirudishe avatar yako ya zamani kabla ya hii ya sasa, maana kila nikiiona nahisi nimemuona mme wangu mpendwa! Good day na Ramadhan Kareem. Jamani msiniparamie mtatengua swaumu yangu bure nimefunga mie
Sijawai kuona uko katika positive way always uko negative seems counseling issue inahitajika haraka hapa
sio kila kichaka lazima unye,vingine unapigia picha tu.Nakushauri ukamweleze na mmeo juu ya hii observation yako.
unahisi au ndio mwenyewe
IMO Avatar ya saizi ya Boss ni nzuri kuliko ya mwanzo (mo' HB in an elderly way...)
BUT naona ya kwanza inaendana saana na the name The Boss... ile pose, ile kofia,
na ile minimal swagger... as if the world can not go round akiamua...lol... Na as if he
does not give a damn of what is happening....
Hii ya saizi kweli asipobadilisha he will have to live up to his new image - for anaonekana
sasa he gives a damn, and very responsible.... hivo not a married bachelor any mo'
AshaDii uwapi wewe jamani, ebu kula thanks kwanza then uji wa muhogo saa moja kasoro
PM for further details...lol... sikataagi mwaliko hasa kama Ramdhani
hata ndege nitapanda...