Avatar ya The Boss

Mkulu mr anafanana sana na ile avatar ya mwanzo ata alipoiona kw mara ya kwanza he was like aaah wat baada ya kuitafakuri kw makini ndio akagundua si yeye ila wanafanana sana
Duuh..Kaazi kwelikweli...mumeo kabisa nae kaja kushangaa Avatar hapa JF!..kwa hiyo mkabaki mnashangaa!!!
 
Nitakupm lakini nahisi km AshaDii wa London vileeee nimeotea hapo uwongo uwongo!!!!!!!!! nakupunguzia gharama nitakutumia nusu kilo ya unga wa muhogo, ukwaju na pilipili mtama sawa mamy



ha ha ha... Laussane i see you today for the first time and i like you already....lol

Asante... naona sasa nitume maelekezo jinsi ya kupata...
 
ha ha ha... Laussane i see you today for the first time and i like you already....lol

Asante... naona sasa nitume maelekezo jinsi ya kupata...

Thanks my Rafiki AshaDii, ni pm kw ful address nisalimie watoto wangu wazuri wadada wawili wale
 
May be nichangie kwasababu nilipoiona hii mpya nilitaka kumshauri TB arudishe ile ya zamani..... Mabali na ushauri uliotolewa na Asha D kwamba ile ya zamani inaendana na Jina lake, Pia iliendana sana na Comment zake.Hii ya sasa imekaa "kiuza sura" zaidi. Tafadhali TB rudisha ile Avatar ya zamani.

Nawasilisha.
 
kwako ze boss, natumaini umzima na unajiandaa vema na weekend! Isingekuwa mbaya kama ningekualika futari siku moja tukiwa na familia yangu pamoja na mme wangu mpendwa! Nia hasa ya message hii naomba uirudishe avatar yako ya zamani kabla ya hii ya sasa, maana kila nikiiona nahisi nimemuona mme wangu mpendwa! Good day na ramadhan kareem. Jamani msiniparamie mtatengua swaumu yangu bure nimefunga mie

ha haaaaa
i am speechless hizi avatar hizi
ombi lako nalifikiria....
 
imo avatar ya saizi ya boss ni nzuri kuliko ya mwanzo (mo' hb in an elderly way...)
but naona ya kwanza inaendana saana na the name the boss... Ile pose, ile kofia,
na ile minimal swagger... As if the world can not go round akiamua...lol... Na as if he
does not give a damn of what is happening....

Hii ya saizi kweli asipobadilisha he will have to live up to his new image - for anaonekana
sasa he gives a damn, and very responsible.... Hivo not a married bachelor any mo'

yaani wewe....lol
these days you sound like my secretary who knows too much
about my bussiness lol
i will have to fire you soon lol
lmao........
 
may be nichangie kwasababu nilipoiona hii mpya nilitaka kumshauri tb arudishe ile ya zamani..... Mabali na ushauri uliotolewa na asha d kwamba ile ya zamani inaendana na jina lake, pia iliendana sana na comment zake.hii ya sasa imekaa "kiuza sura" zaidi. Tafadhali tb rudisha ile avatar ya zamani.

Nawasilisha.

thanx
sikujua ile avatar ilikuwa na fans wengi
wewe karibu wa tano kuniamiba hivi lol
yaani.......
 
nakubaliana na mkirua na ashadii...that avatar had a lot of similarities kati ya personallity na comments zako. irudishe tafadhari. u may keep this at your site
 
Utakuwa umekosa cha kufanya mpaka unafikilia AVATAR?

are you jobless, widow or umeachika???

Kama kawaida wewe na pumba tu,twambie mgao wa umeme utaisha lini,...
na mafisadi watashitakiwa lini,na kuvuana magamba kutamalizika lini?
(wewe ukiwa moja ya gamba linalotoa magamba mengine)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom