Avatar ya The Boss

Avatar ya The Boss

Mwenyewe nilikuona juzi ulivokuja SA kutembeza bakuli,na ulivokua kwenye
kikao cha kuvuana magamba kule dodoma
Hahahaha! You made my dei!... Bado tu bakuli linatembezwa?..lol..
 
Ngoja na mimi nirudishe avatar yangu ya zamani.
 
Kwako ze boss, Natumaini umzima na unajiandaa vema na weekend! Isingekuwa mbaya kama ningekualika futari siku moja tukiwa na familia yangu pamoja na mme wangu mpendwa! Nia hasa ya message hii naomba uirudishe avatar yako ya zamani kabla ya hii ya sasa, maana kila nikiiona nahisi nimemuona mme wangu mpendwa! Good day na Ramadhan Kareem. Jamani msiniparamie mtatengua swaumu yangu bure nimefunga mie
Chukua avatar hii

Itakufanya umsahau kabisa sweetie wako
avatar18566_5.gif
 
Naipenda zaidi hii ya sasa, labda kwa sababu nimeipenda sana movie yake.



Annina
 
thanx
sikujua ile avatar ilikuwa na fans wengi
wewe karibu wa tano kuniamiba hivi lol
yaani.......

Avatar kwangu sio muhimu, lakini kuna watu humu ndani wanafikiria sana na kuchangia vitu vyenye msaada,sio mashabiki,kwenye, siasa,dini, nk
kwa mfano sio lazima ukashifu chama cha mwenzako au dini ya mwenzako ilikuonekana una points, toa hoja!
The boss ni mmoja wao.BIG UP BRO!
 
The Boss, mke wa mwenzio anazimikia avatar yako, hapo mtu keshazini bila kujitambua, kazi kwako.
 
katika vitu ambavyo sifikirii kufanya katika maisha yangu yote ni kubadili avatar yangu. labda Mods waichoke, siku hiyo ndo mwisho wa kuwa member JF, teh teh teh teh teh teh..

hahahahaha mkulu avatar hiyo hutaki kuibadilisha kweli?????????
 
mie napendaga comments zake,sio avatar......avatar hata akiweka ya kizee bado comments zake zitanizuzua!

Uko sahihi Jestina, in short the boss anasomeka ana busara sanaaaaaaaaaa
 
The Boss, mke wa mwenzio anazimikia avatar yako, hapo mtu keshazini bila kujitambua, kazi kwako.

Mamndenyi naona unaikurubiha zinaa, hapa hakuna aliezini kiswahili kigumu kweli, next time nitakupostia kizulu kwa ajili yako wewe tu
 
camaraderie
mbona umevamia my familly album?????lol
 
Chukua avatar hii

Itakufanya umsahau kabisa sweetie wako
avatar18566_5.gif
Du watu kama avatar hii ukukutana nao utacheka mpaka siku ya mwisho duniani.
Kucheka hacheki,kushangaa hashangai
Macho na masikio yamemtoka pima
Kakikutana na watoto wenziwe si kilio hicho kwa mama zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom