<br />Itakuwa moyo umenidondokea, tupa hiyo binduki tuwarudishe Romeo na Julieth.
Kweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.
Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)
Denaaaaaa!! Mmmh!Kweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.
Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)
Husninyo....mbona siioni hiyo avatar yako?? au upofu unaninyemelea!!Kati ya avatar zote ya husninyo tu ndio inanikosha. Mwambieni asibadilishe avata.
Mi haka kasimu ka mchina wala hakaoneshi hizo avatar
Yangu inaniacha hoi.........
yangu mwenyewe naipenda..
Kama unatumia simu, Switch kwenye PC mode utaziona!
mi huwa ya kwako ndo inanivutia sana
Rose1980 naipenda kwa 7bu huwa ni full kunikonyeza hata kama nimekasirika nitafurahi
lolote alifanyalo mtu lina kind of connection to self
au mazingira na hata watu/ vitu vinavyomzunguka
Usinisahau na mimi hendsome. Ilimchukua jamaa siku nzima kunipiga picha nikiwa serious!
original paster yake pia nimeipenda wakuu!
Hiyo yako usithubutu kuibadilisha jamanijamni sijui ni mimi tu au ..
Kuna avatar nyingine humu ndani
zinakuvita tu usome hoja zao uone walicho andika loohhhhh
saa nyingine unatabasamu peke yako mbele ya screen ,
waangali kulia kushoto kuhakikisha mtu hakuoni unavyo furahia ,,
Nway baadhi ya avatar ambazo sizipitagi ni hizi hapa...
matumbo.................. Rejao............... mikatabafeki
POSHO ZA VIKAO........ .. Ecoli............. Mkoloni
Je wewe ni zipi zinazokuvutia..
Pamoja sana
AD
Kuna Member anaitwa Karen_Happuch... Huyu dada nikimuona.. i always feel good..
yaani ana happy spirit fulani katika avatar ambayo hunifanya nikisikie kama i am really seeing the person behind...
Ndo maana mimi mtu anaetaka kunijua anitafute!Teh teh teh!
Kati ya avatar zote ya husninyo tu ndio inanikosha. Mwambieni asibadilishe avata.
Naona tayari huu umeshakuwa msamiati!!Mi huyo aliyekitwa pembe la moo mwenye masaburi kanfrahishaaa