Avatar nizipendazo ....

Avatar nizipendazo ....

huyo ndo mmi Afrodenzi huwa napenda kuweka mambo wazi nilienda kwa mchoraji maarufu yule aliechora picha ya mkuu wa kaya(jk) ndo nami akanichora,mnh ha haa kweli ya kwako ni cute face

hahahahahah loohh
kakuharibi au ni mimi nahitaji miwani..
asante kwa kupwnda yangu pia 🙂
 
hahahahahah
nlikuwa sijagundua huna kidevo hahahah lol...
Mmmh! Afrodenzi,
Hapo mmeanza na kidevu..kinachofuata hapo mtaanza kuuliza mbona upara!! Then hiyo pua..then macho!! Lol..I can't u kabisaa
 
Yangu inaniacha hoi.........

unusual-road-signs-20.jpg
 
Mi haka kasimu ka mchina wala hakaoneshi hizo avatar
 
mi huwa ya kwako ndo inanivutia sana

Rose1980 naipenda kwa 7bu huwa ni full kunikonyeza hata kama nimekasirika nitafurahi
 
hahahahahahahah looooh
naona mnamwandama Rejao kweli leo
kwani nini wasema ulivyosema??

lolote alifanyalo mtu lina kind of connection to self

au mazingira na hata watu/ vitu vinavyomzunguka
 
Back
Top Bottom