Avatar nizipendazo ....

Avatar nizipendazo ....

We si unamjua maza alivyo noma na wewe nilikwambia nakwenda mnadani au ushasahau

Nikarudi nikapitia kwenye Busaa na Manguree pale kwa mama halimaa nikachelewa kurudi.

Nimeamka na kuoga na kukimbia kazini si unajua tena Idd karibu lazima kupiga kazi tupande angalau khanga ya Heri ya Idd

Poa basi usijali

Nlimwambia hiyo ya mnadani lakini alisema
mnada wa Kidarafa ni tarehe 17 ...
bado anakumbuka eti ..

Halafu anawasi wasi unapeleka piwa siku hizi...
maana alikuona unapepesuka na kibuyu cha maji..
ama Marko alimwambia maza ulikuwa kilabuni.

sasa Idd wapi ? au unakuja home...?

HA ha ha ha mubaya wewe.

Halafu unajua ama abushiri alifariki last month???

Idd bwana si unajua mambo ya BE kakaba mpaka penalt??
Nitakula pilau home halafu nakwenda Dareda kule kwa hai shigai kanialika

HA ha ha ha mubaya wewe.

Halafu unajua ama abushiri alifariki last month???

Idd bwana si unajua mambo ya BE kakaba mpaka penalt??
Nitakula pilau home halafu nakwenda Dareda kule kwa hai shigai kanialika

ooohhh kweli Poleni sana
hiyo siku sikia alikuwa anatengeneza mlenda wa hatari ..
ntam miss kwa hilo....

mmmhhhhh
mwambie BE aache hivyo bana ..
Pilau tu dahhh idd yako itakuwa chachu kweli..

Karibu kwetu ...

Usinisahau kwa safari ya Dareda basi
nataka unidondoshe Bashnet ..
Ama nade amenialika katengeza Ilwa mamahai ....

Ha ha ha unakumbukumbu mtoto weye balaa ule mlenda sijui alikuwa anaweka nini aisee maana unakuta kwantee inateremka tu si mchezo

Ama Nade nae atapika pilau kweli maana mgumu kuchinja hata kuku yule.........

Poa nitamwambia BE apunguze geti kali ha ha ha

NB: Uchakachuaji wa thread ruksa

Hivi umesahau alituambia siri ya mlenda ni chumvi ya magadi na karanga..
halafu wake haweki bamia .. anatumia tu yale majani ya mlenda...
halafu wakati wa kula unaweka maziwa ya mamahai (mgando) katikati
yaa mlenda yaaaaaaaaaaaaaaammmmm..
na ugali wa kwante... huuuuuhhhh

Ama nade atapika pilau lakini wakati wa kupakua
anakuhesabia mchele.. nyama anaweka mbili juu
we ukiangali unadhani una nyama nyingi kweli chini
unachimba mpaka unatoboa sahani hamna kitu...

mwambie BE nataka kuja bana aongeze
kidogo ajili ya wageni .. halafu si wajua familia yetu
unanialika mimi nakuja na kaka wote na wake zao watoto
wote na majirani kwa yongeza..

yap hapa ni CHIT CHAT , chakachua kwa kwenda mbele
(tusipigwe tu BAN....)

Kweli nimeamini sasa ukipendacho wewe wengine hukichukia. Na ukisema wa nini wengine husema nitampata lini.

Yaani hizo avatar zote nazichukia kuliko maelezo. Dahaa haya bana (Jamani msinitoe macho ndo navyojisikia)
huh.................ke keeekekk keeke keeke kekeke kekeeeeeke

sasa tugawiane basi Kinywaji ...

Raha jipe mwenyewe,hapati mtu hapa labda kwa vigezo maalum

Kuna Member anaitwa Karen_Happuch... Huyu dada nikimuona.. i always feel good..
yaani ana happy spirit fulani katika avatar ambayo hunifanya nikisikie kama i am really seeing the person behind...
XHkKo+DEEQQBYfjnyxxwAIpikf8D3oxF7drAjqQAAAAASUVORK5CYII=

Kweli kabisa avatar ya Karen_H inavutia...

Back
Top Bottom