Avatar nizipendazo ....

Avatar nizipendazo ....

jamani, huyu jamaa si Mugabe? Dah! Ndo naamini kwamba kati ya manyani wanaovaa nguo R. Mugabe yumo.
Completely Sokwe anaevaa Maglass!

hahahahahah lohhh
huyu so Mugabe bana looohhh
 
Kama nimekukwaza pole mdogo wangu eeehhhh...........................

hahahahah lol
hamna wala ..
Hujambo lakini sis?
ulikuwa wapi jana ..Maza alikuwa analeta zile za
"yuko wapi huyu asiporudi nafunga mlango alale nje.."?? lol
 
hahahahah lol
hamna wala ..
Hujambo lakini sis?
ulikuwa wapi jana ..Maza alikuwa analeta zile za
"yuko wapi huyu asiporudi nafunga mlango alale nje.."?? lol

We si unamjua maza alivyo noma na wewe nilikwambia nakwenda mnadani au ushasahau

Nikarudi nikapitia kwenye Busaa na Manguree pale kwa mama halimaa nikachelewa kurudi.

Nimeamka na kuoga na kukimbia kazini si unajua tena Idd karibu lazima kupiga kazi tupande angalau khanga ya Heri ya Idd

Poa basi usijali
 
Back
Top Bottom