Avatar nizipendazo ....

Avatar nizipendazo ....

Ya Rejao mbona ipo bomba sana?
Halafu ndio real him

mwanasaikolojia kama yupo atueleze kilichomfanya Rejao kuweka avatar kimeo namna hii?

just thinkin lazima ina-reflect kitu kutoka kwake
 
kabisa my dear
Nimeshindwa kuelewa kwamba huyo ni
Mr.Bean ?? au
huyo ndo mmi Afrodenzi huwa napenda kuweka mambo wazi nilienda kwa mchoraji maarufu yule aliechora picha ya mkuu wa kaya(jk) ndo nami akanichora,mnh ha haa kweli ya kwako ni cute face
 
mwanasaikolojia kama yupo atueleze kilichomfanya Rejao kuweka avatar kimeo namna hii?

just thinkin lazima ina-reflect kitu kutoka kwake
mkuu sijaelewa inamaana avatar yake inareflect mambo yake?i ril like him by da way
 
mwanasaikolojia kama yupo atueleze kilichomfanya Rejao kuweka avatar kimeo namna hii?

just thinkin lazima ina-reflect kitu kutoka kwake

hahahahahahahah looooh
naona mnamwandama Rejao kweli leo
kwani nini wasema ulivyosema??
 
Back
Top Bottom