Yako inanikumbusha bossi wangu wa zamani, head of Human Resource. . . anamfanana kweli Queen Latifah!Hygeia mbona hujasema ya Rejao na ritz zinakukumbusha nini?
hapana ila niliwajua wakati nasoma na nilifanya field practical maeneo ya Mt.Uluguru.Do you bird-watch? MI pia member, ingawa amateur kiasi...
Du! Kumbe na wewe ni mtokotaji?lolHa ha ha ha
Imekuwaje ukaipokea so calm?
Nilitegemea utalipuka
Sikuelewa mtoa mada kaoanisha vipi hizo avatar
Du! Kumbe na wewe ni mtokotaji?lol
Avatar ya husninyo yanakumbusha lijibibi flani hivi linaishi mpwapwa.
Hii nayo je?
Nilitafuta Avatar inayo reflect nilivo. kumbe nimepatia?ya mwali inanikumbusha 'wasichana mabikiria' lol
OK. Ulikua unasoma nini? Biology? Kuna kasafari ka kwenda Itombwe kufanya environmental baseline... Walisema toward july 2012. Najipanga sana, nataka niende na hao scientists, hata kama mpishi. lolhapana ila niliwajua wakati nasoma na nilifanya field practical maeneo ya Mt.Uluguru.