sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 771
- 2,415
Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).
Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi?!
Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia sizya007 humu jf ila nilipobadili device nikawa nimesahau password ikanibidi nifungue acc mpya na kutumia sizzya007, jina hili linatokana na mizuka na mahaba mazito ambayo nilikuwa nayo kwa movie za James Bond. Toka enzi hizo za VHS, mie nilikuwa nazo movie nyingi sana za huyu mwamba! Basi rafiki na ndugu wa karibu walianza kuniita 007, nilivyofika chuo wale nilioachana nao primary ndio wakaliibua upya, ila muda huu ndio likaja na sizya007
Hili ni jina ambalo nalitumia mitandao yote ya kijamii ambayo nipo, ila kwingine nimelifanyia utundu kidogo.
Sasa, natamani kujua majina ya wengi humu jf atleast origin yake ni nini hasa! Nitamzungumzia mmoja tu ambaye huyu nadhani itabodi alifafanue lake kwani limekaa kifigisufigisu, GENTAMYCINE
GENTAMYCINE, nikujaribu kulinyumbua napata ukakasi, GENTA MY CINE
Why should i GENTA your CINE?! And what is CINE?! Na kuGENTA ndio kufanya nini
Cc GENTAMYCINE njoo ujibu, jina liko kifigisufigisu sana hili.
Wengine ni
Faizafoxy
TheBoss
Lara1
Rubii
Bitoz
Miss chagga
Bansenburner
Mshana jr
YEOHANDA
perry
tatty
cute b
Evelynsalt
Stroke
Nyani Nyabu
Mwanakijiji
Mwanahabari huru
Mzama chumvini
Nahree
Na wengine kibaaao, ebu funguka kidogo kwanini unatumia jina hilo?!