avatar jf zakukumbusha nini au nani?

avatar jf zakukumbusha nini au nani?

ya mwaka jana hiyo kwa taarifa yako

Kumbe bado hujavuta vyumba! Jipange uingie michuano ya wuilaya, kisha mkoani na hatimaye uingie kwa Lundenga. Kila la kheri!
 
Heri ya mwaka mpya wapendwa wa JF. Leo nipo tena kwenye avatar za Jf. Kuna avatar humu. kila nikiziona zanikumbusha watu, kitu au mahali fulani: Orodha ya avatar na majina ya watu/vitu ninavyokumbuka ni:

1. avatar ya PakaJimmy: Yanikumbusha Mohamedi Ali, (Cassius Clay) akimshushua mpinzani wake kabla ya pambano la ngumi.
2. avatar ya Keren Happuch: Yanikumbusha Opray Winfrey alipokuwa na umri wa miaka 22.
3.avatar ya Russian Roulette: Yanikumbusha Salama Jabir mwanahabari maaruf Afrika Mashariki.
4.avatar za FaizaFoxy, Asha Dii, Fatma Bawazir na Mwali:Zanikumbusha Tanga Zanzibar na Mombasa
5. avatar za Lizzy na Kabakabana: Zanikumbusha mashindano ya Miss Tanzania
6avatar ya Nitonye: Yanikumbusha Mike Tyson
7. avatar ya Excellent:Yanikumbusha mchezaji Wayne Rooney wa Man U.
8.avatar ya The Finest:Yanikumbusha Nicholaus Anelka anayechezea Chelsea.
Na wewe je? Wakumbuka nini ukiona baadhi ya avatar za wanajf?
..................................................................................................
.....................................................................................................

hapo bold naomba uniruhusu nicheke hadi pumzi ziishe coz kila nikipasoma nahisi panachekesha.

mim avatar yangu inanikumbusha bibi yangu, RIP bibi.
 
Pole mamito..
Mbona umepotea sana mzima lakini??
Heri ya mwaka mpya ...

thanx mpenzi wangu,ila hapo kwa bibi nilikua kimasihara tu,japo kweli bibi alishatangulia lkn siku nyingi sana.
mim nipo,wkt mwingine nachungulia tu,
Nawe nakutakia kheri ya mwaka mpya.
 
OK. Ulikua unasoma nini? Biology? Kuna kasafari ka kwenda Itombwe kufanya environmental baseline... Walisema toward july 2012. Najipanga sana, nataka niende na hao scientists, hata kama mpishi. lol

environmental science and management.Haya safari njema hope utafaidi na kujifunza mengi.ila sijajua unaenda Itombwe ninayoijua mie ile ya DRC au hiyo iko hapa bongo.kama ni ya DRC utafanikiwa mwona ndege mmoja aitwa "itombwe flycatcher" kama sikoosei

Ni Itombwe ya DRC. kuna endemic kama 58... nilibahatika kuona 4 of them some 20km from the forest ila sababu ya insecurity hatukuruhusiwa kusogea zaidi(2008).

I can see some more people interested in environmental and natural resource issues.......let's join hands in advocating for a forum on environmental issues at JF.
 
hapo bold naomba uniruhusu nicheke hadi pumzi ziishe coz kila nikipasoma nahisi panachekesha.

mim avatar yangu inanikumbusha bibi yangu, RIP bibi.

CM,unanipa kizunguzungu kikali. Ni avatar ya Russian Roulette ndo nilikuwa naizungumziana kuihusisha na Salama Jabir. Wewe Cheusi Mangala watoka wapi na kusema avatar yako yakukumbusha bibi yako? Wanichanganya vibaya. Avatar yako cheusimangala ni huyo mama yuko bafuni, anaoga nafikiri. Au? Kama si hivyo, basi RR anatumia ID mbili: RR na Cheusimangala.
 
duuuh.
pole kwa kizunguzungu.
 
Hii kali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom