Ile ya zamani ndo nzuri!
Imeshazoelekea maana mpaka kwenye magazeti imetumika, sasa endapo utaamua kubadilisha;
know one thing for sure, perception yako kwa watu itabadilika ina both ways (+ve & -ve)
Kwa sisi ambao tunauelewa flani wa mambo ya masoko, tunakushauri usibadili
Endelea kutumia ile ya zamani huku ukiwazoesha watu taratibu hii mpya kwa kuichanganya na ile ya zamani,
kwa kufanya hvyo utaweza kukusanya opinions zao na kujua wanajamii wanaichukuliaje
before you decide which is which
Ni hayo tu!