Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

Uko Huu,wakati float switch elfu 25

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu sio lazima kununua na sio lazima ku-comment upuuzi kama huo kama unaona float switch inafaa basi endelea kutumia waache wanaotaka kutumia hii system sijakulazimisha uitumie hii system yangu endelea kufaidi vya wazungu mkuu.

Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nikupe hongera sana Mkuu kwa kujaribu na hatimae kufanikiwa project yako,kikubwa ni uaminifu na uimara wa vifaa vyako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu... vifaa viko poa na replacement ya vifaa ni kawaida ikitokea vimeoata hitilafu kwani kama tunavyojua hivyo ni vifaa vya kielektronik kwahiyo sio kwamba vinaweza kudumu milele ni sawa na watu wanamiliki simu ya hadi million 1 lakini inaweza ikatokea bahati mbaya ikapigwa shot na ikafa moja kwa moja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu sio lazima kununua na sio lazima ku-comment upuuzi kama huo kama unaona float switch inafaa basi endelea kutumia waache wanaotaka kutumia hii system sijakulazimisha uitumie hii system yangu endelea kufaidi vya wazungu mkuu.

Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
Dah.....Hivi unajua nani anayetaka au asiyetaka bidhaa yako? Bado unahitaji kujifunza juu ya mbinu, mikakati na mahitaji ya soko[emoji41] [emoji87]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah.....Hivi unajua nani anayetaka au asiyetaka bidhaa yako? Bado unahitaji kujifunza juu ya mbinu, mikakati na mahitaji ya soko[emoji41] [emoji87]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
unajua nini mkuu.. utakuta mtu anaongea kitu ambacho hana utaalamu nacho na ndo tulivyo wabongo, huyo jamaa niliyemjibu hivyo yeye kaandika eti floating switch sh 25000 sasa hiyo floatingi switches anajua mechanism zake zilivyotengenezwa au anafurahia tu inavyofanya kazi? pia anajua ubora wake? kwasababu ni sawa Mimi nimiliki nokia torch alafu anakuja mtu anauza simu ya android Samsung galaxy japokuwa zote zinasaidia mawasiliano sasa unataka kuniambia bei zitafanana? ni hivyo hivyo nikija kwenye system hizi za maji floating switch ni mfumo wa kizamani na hauna ubora ukilinganisha na hii system ya kwangu na ndio hivyo ilivyo kwenye simu, simu ya kwanza ilikuwa ni ile ya kutumia wire tu ikaja simu za button ndo mpaka sasa ndo kuna hizo za touch sasa unataka kuniambia bei zinafanana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom