The Great Engineer
Member
- Aug 8, 2016
- 39
- 44
Mimi ni kijana niliyehitimu Degree ya Electronics & Communication Engineering, najihusisha na kudesign systems mbalimbali za kielectroki, kwa wale wanaotumia underground water yaani kama wanatumia maji ya visima kwa kusaidiwa na pump ili kujaza maji kwenye tank yanapoisha, sasa hii system ni suruhisho tosha la kuondoa hali ya mtu kwenda kuwasha pump ya maji inapotokea maji yameisha au kuzima pump inapotokea maji yamejaa kwenye tank mpaka kumwagika, hii system inafanya kujaza maji kwenye tank inapotokea yameisha bila kuruhusu hata tone la maji kumwagika na ikitokea yameisha itajaza maji kwenye tank yenyewe mpaka level ya juu kwani kuna kuwa na sensor maalumu kwahiyo haitohitaji mtu wa kuzima na kuwasha pump, system inakuwa inajiendesha yenyewe na utaweza kuona pia level ya maji kwani kunakuwa na display, utaweza pia kuona status ya pump kama imezimwa au imewaka, kwa yeyote mwenye uhitaji anaweza kuni PM kujua bei na vitu vingine.
BEI YAKE NI TSH 300,000/=
MAWASILIANO ---------> 0756060343.
Post sent using JamiiForums mobile app
BEI YAKE NI TSH 300,000/=
MAWASILIANO ---------> 0756060343.
Post sent using JamiiForums mobile app