Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

Pump inalindwa vipi kutokuungua au kuharibika kwa kuvuta hewa endapo maji katika reservoir yamekwisha lakini ?
 
kupima level ya maji natumia sensor inayopima umbali wa kitu na uwezo wake ni kuanzia sentimita 2 hadi sentimita 400 kifaa hicho kinaitwa ultrasonic sensor na kupangilia level za maji natumia kompyuta na pia hizo level zinategemea na ukubwa wa tank lako la maji kwahiyo kitu cha kwanza ni lazima nijue urefu wa tank lako na sio upana kwani kama nivyoeleza awali kuwa sensor ninayotumia yenyenyewe inahusika na umbali wa kitu kilipo, na mda wa maji kujaa inategemea na ukubwa wa tank lako pili na nguvu ya pump unayotumia. lakini kwa ujumla kuitengeneza hiyo system komputa imehusika kwa kiasi kikubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.... Safi sana... Vipi kuhusu uwepo WA maji kisimani kulinda pampu isitembee ikiwa kavu?[emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
kuhusu hilo mkuu naimani ma-engineer wanaohusika na mambo ya maji watakuwa na Maelezo ya kutosha Mimi kazi yangu ni kukusaidia kukupunguzia usumbufu wa kuwasha pump maji yakiwa yameisha au kuzima maji yakiwa yamejaa kwenye tank na pia kuepusha upotevu wa maji pindi maji yakijaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine ni wiziwa idea za watu.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Dah..... Engineering hakuna kitu kipya wala ideas mpya.....bali kuna matumizi ya misingi iliyowekwa toka enzi na enzi kulingana na matatizo yako..... Kama kina Newton, Faraday, Henry na wengineo wangeficha ideas zao tungekuwa wapi Leo? [emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah..... Engineering hakuna kitu kipya wala ideas mpya.....bali kuna matumizi ya misingi iliyowekwa toka enzi na enzi kulingana na matatizo yako..... Kama kina Newton, Faraday, Henry na wengineo wangeficha ideas zao tungekuwa wapi Leo? [emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Tatizo ni kuwa mtu anapoamua kufanya ka mradi kake, kuna wale wa kuvizia, huwa wanaangalia mtonyo, kwani kama mtu anaweza kupasua basi wao zao ni kuiga anachofanya huyu aloasua

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
mtoa mada unaongelea kutu, sisi toka 2010 hadi leo hicho kiboya hakijaleta kutu na pump haijabadilishwa kabisa....
kama mnataka muuze zaidi hizo kazi zenu mshushe bei. Ila kukomalia bei wakati mchina anauza kitu kama hicho hicho tena chenye housing nzuri kwa Elfu 70, hapo mchina ataendelea nunuliwa maana bei zake ziko vizuri
tatizo la wabongo hauwezi kufikiri mtu anapata wapi vifaa, mda aliotumia sasa mchina anatengeneza vitu vya kudumu mkuu? labda uniambie mkuu unajua hivyo viboya viundwaje? maana usiwe unaongea tu wakati vitu hauna utaalam navyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pump inalindwa vipi kutokuungua au kuharibika kwa kuvuta hewa endapo maji katika reservoir yamekwisha lakini ?
mkuu nieleweke kuwa hii system ni kama switch inayojiendesha yenyewe kwamaana hiyo ni modification ya switch ambazo watu wanazicontrol pale maji yakiisha au yamejaa, Mimi ni Engineer wa mambo ya kielectroniki na ndiomaana nimeweza kuidesign hii system kuhusu sijui pump italindwa vipi hiyo ni issue ya watu wanahusika na maji na kama unavyojua engineering nayo ni pana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kuwa mtu anapoamua kufanya ka mradi kake, kuna wale wa kuvizia, huwa wanaangalia mtonyo, kwani kama mtu anaweza kupasua basi wao zao ni kuiga anachofanya huyu aloasua

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Dah.... Kila injinia anaiga.... Kama siyo kwa Newton basi kwa Tesla au wengineo.... Hakuna anayekuja na msingi mpya.... Tunatumia mchanganyiko wa misingi ileile tuliyoachiwa na wahenga kutatua matatizo yaliyo mbele yetu [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah.... Kila injinia anaiga.... Kama siyo kwa Newton basi kwa Tesla au wengineo.... Hakuna anayekuja na msingi mpya.... Tunatumia mchanganyiko wa misingi ileile tuliyoachiwa na wahenga kutatua matatizo yaliyo mbele yetu [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
Ni sawa kuwaiga hao wazee wahenga kuliko kumuiga mtz anaefanya kaproject kake ili ajinasue kiuchumi, you got my point[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ni kweli mkuu lakini tatizo la watanzania wengi hatutaki kuumiza vichwa na kama umefanikiwa kufika vyuo vikuu basi utakubaliana na Mimi yaani karibu wanafunzi wengi hasa wanaotakiwa kuwasilisha projects mwaka wa mwisho wanaona bora wafanyiwe na utakuta project ni ya kawaida sana lakini anaona bora atoe laki 3 au 4 ili afanyiwe tu mambo yaende bila hata kufikiria madhara yake wakati wa interview utakuta hajui chochote lakini anajiita engineer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nieleweke kuwa hii system ni kama switch inayojiendesha yenyewe kwamaana hiyo ni modification ya switch ambazo watu wanazicontrol pale maji yakiisha au yamejaa, Mimi ni Engineer wa mambo ya kielectroniki na ndiomaana nimeweza kuidesign hii system kuhusu sijui pump italindwa vipi hiyo ni issue ya watu wanahusika na maji na kama unavyojua engineering nayo ni pana mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah... Uniangusha chief... Hii ni bidhaa unayoiingiza sokoni...na siyo andiko unalolileta ili upewe cheti fulani.....ukiletewa rejesho fulani huna budi kuutilia maanani... kwa faida yako... Control system yoyote bila 100% protection ni kazi bure.....kwa kifupi kuna pump controller ipo sokoni inafanya yote hayo yako pamoja na kuilinda motor dhidi ya joto linalozidi, overload, abnormal voltage, earth leakage pia kuilinda pump kutembea ikiwa kavu kwa 250K tu....
Kuilinda pump ni rahisi sana... Kutegemea na aina ya motor inayotumika....kama ni squirrel cage inatabia ya kuwa na pawa Fakta ndogo sana ikiwa haina mzigo... hivyo unaweza kuchukua hiyo kama kipimo cha protection yako... [emoji41] [emoji41] [emoji87]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Ni sawa kuwaiga hao wazee wahenga kuliko kumuiga mtz anaefanya kaproject kake ili ajinasue kiuchumi, you got my point[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Dah.... Ukimuona yoyote anaficha technolgia basi kuna mambo mawili yanahusika...
1. Kuna utapeli ndani yake
2. Ni teknolojia ya kudhuru binadamu (silaha)
[emoji41] [emoji41] [emoji87]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
yaah najua kuwa system zilizopo ni zile za kudumbukiza Boyer ndani tank sasa ukumbuke kuwa vile viboyer vinatumia signal za umeme kwa maana hiyo ile signal ya umeme imebebwa ndani ya wire tena huohuo wire na viboyer vimedumbukizwa kwenye maji sasa kuna tatizo la kuja kupata kutu pia ambapo itafanya pump isifanye kazi vizuri kwani ufanyaji wa kazi yake inategeme hiyo signal ya umeme sasa na kutu ni kizuizi kikubwa cha umeme kutokupita na ndiomaana tunazidi kuwarahisishia kwa kuleta vitu vyenye ubora zaidi kama hii system mkuu... hii system hauwezi ukaifananisha na hizo zingine za kudumbukiza minyaya kwenye tank

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....
Siyo lazima "udumbukize" minyaya kwenye tank.... Control system inahusu kutumia mabadiliko ya physical quantities katika kufanya automation.... Kwa urahisi unaweza kuweka float valve kisha ukatumia pressure ya kwenye bomba kukontrol level ya maji [emoji12]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Dah....
Siyo lazima "udumbukize" minyaya kwenye tank.... Control system inahusu kutumia mabadiliko ya physical quantities katika kufanya automation.... Kwa urahisi unaweza kuweka float valve kisha ukatumia pressure ya kwenye bomba kukontrol level ya maji [emoji12]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji41]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
sawa but ni system ya kizamani ndo maana tunazidi kuboresha kwa kuleta system zenye ubora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mleta maada, ni mwanzo mzuri. Ila Fanyia kazi ushauri mawazo uliyopewa na consumers. Hasa bei na ubora wa bidhaa. Rohombaya ameshauli in a constructive way. Hivyo chukua hatua. Najua mwanzo ni mgumu, maana hata mie nilipost bandiko la kuuza mikanda ya ngozi yenye mwonekano mzuri, nilipata maoni na tastes mbalimbali (in terms of pricing,preference and quality)kutoka kwa wadau Na ninaufanyia kazi na mauzo yangu yanazidi kuongezeka.
Usikate tamaa mkuu. Binafsi , mie natumia float switch kwa miaka mi5. Na nina nia ya kukuunga mkono kwenye biashara yako. Nitakucheki kwa ushauri zaidi ktk pricing na quality ya bidhaa

shukrani mkuu

Sent from my itel it1702 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom