Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

Automatic system ya kupandisha maji kwenye tank

hiyo ni kawaida mkuu na kuhusu kuiba labda ningeonesha circuit diagram na code ya hiyo system labda ndo wangeiba lakini hizo picha ni system iliyokamilika mkuu so hakuna tatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, but kwa wataalam wa electronics tukiona tu muundo kwa juu basi hata design ya circuit inapatikana, labda ingekuwa kwenye case.

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Kwanza kazi nzuri, Hongera sn..
Nashauri try to utilize material vizuri maana naona jinsi ulivyozipanga na pia unatumia nyaya ndefu unnecessary. Try to economise.
Hiyo idea yako ikuze ikiwezekana boresha muonekano iwe na housing nzuri ya kuvutia ..
Pia jaribu kasajili kampuni ambayo utakuwa inazalisha vifaa vyako na kuvitangaza kwa wingi na pia kupeleka kwenye maonesho mbalimbali ubumifu wako...

Iphone 5
 
Kwanza kazi nzuri, Hongera sn..
Nashauri try to utilize material vizuri maana naona jinsi ulivyozipanga na pia unatumia nyaya ndefu unnecessary. Try to economise.
Hiyo idea yako ikuze ikiwezekana boresha muonekano iwena housing nzuri ya kuvutia ..
Pia jaribu kasajili kampuni ambayo utakuwa inazalisha vifaa vyako na kuvitangaza kwa wingi na pia kupeleka kwenye maonesho mbalimbali ubumifu wako...

Iphone 5
Ahsante mkuu kwa ushauri wako, niko njiani kufanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupongeza kwa hatua uliyofikia. Hatuna budi kujivua vya kwetu. Wahenga wanasema "fake it till you get the original one". So umefanikiwa kupata kitu kinachofanya kazi. I'm sure utaendelea kukiboresha kadiri siku zinavyokwenda. Ila nakushauri punguza bei ili bidhaa yako inunuliwe kwa wingi. Linganisha bei na vifaa vya vinavyotoka nje then ona namna gani utauza kifaa chako. Pia nikushauri utengeneze na ile censer ya kuwasha taa. Ni hayo tu

ok sawa mkuu nimekuelewa Ahsante, na sensor unavyosema ya kuwasha taa, unamaanisha upande huohuo wa system ya maji au unamaanisha taa zinazotakiwa kuwaka zenyewe endapo giza likiingia na kuzima zenyewe mwanga ukiingia? na kuhusu bei ya system ya maji kuna maelewano mkuu na bei unaona kubwa kwasababu ya upatikanaji hafifu wa vifaa huwa naagiza China mkuu.

Censer ya kuwasha taa giza likiingia. Nichek pm tuone kama bei ni reasonable niweze chukua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo lako ni zuri saana. Ila changamoto inakuja kwenye gharama tu. Mie natumia float switch ya 21,000 tu kufanya kazi hiyo. Nimependa saana kuongezea levels za maji

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hapo ni bei maana wengine wanatumia kiboya fulani hivi
 
Tatizo hapo ni bei maana wengine wanatumia kiboya fulani hivi
yaah najua kuwa system zilizopo ni zile za kudumbukiza Boyer ndani tank sasa ukumbuke kuwa vile viboyer vinatumia signal za umeme kwa maana hiyo ile signal ya umeme imebebwa ndani ya wire tena huohuo wire na viboyer vimedumbukizwa kwenye maji sasa kuna tatizo la kuja kupata kutu pia ambapo itafanya pump isifanye kazi vizuri kwani ufanyaji wa kazi yake inategeme hiyo signal ya umeme sasa na kutu ni kizuizi kikubwa cha umeme kutokupita na ndiomaana tunazidi kuwarahisishia kwa kuleta vitu vyenye ubora zaidi kama hii system mkuu... hii system hauwezi ukaifananisha na hizo zingine za kudumbukiza minyaya kwenye tank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mtoa mada unaongelea kutu, sisi toka 2010 hadi leo hicho kiboya hakijaleta kutu na pump haijabadilishwa kabisa....
kama mnataka muuze zaidi hizo kazi zenu mshushe bei. Ila kukomalia bei wakati mchina anauza kitu kama hicho hicho tena chenye housing nzuri kwa Elfu 70, hapo mchina ataendelea nunuliwa maana bei zake ziko vizuri
 
Back
Top Bottom