Duh.. that's a very high jump. Aliruka kwa matakwa yake au kwa bahati mbaya kateleza?😆Ni sawa na km 276 kwa dk
Uko sahihi sana hebu tuamshe udadasi kwenye hili kwakuwa hata kwa hiyo speed licha ya kuungua hiyo mikono ingeweza kunyofokaAsteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Kwa hii speed si alipaswa awake moto?Ni sawa na km 276 kwa dk
Na jukwaa la MYKWakati uku si tunalalamika uzi wa kula tunda kimasihara ufunguliwe....😁😁
Si nasikia spaceX wamefanikiwa kutuma satellite angani na chombo(ile rocket) kurudi pale pale iliporukaAsteroidi au chochote kikiingia anga la dunia kinavutwa kwa speed ambayo inasababisha hadi kiungue, sasa najiuliza mbona huyu jamaa kashuka toka umbali huo wa kilomita nyingi hivo hatujaona athari za msuguano na mvutano huo mkubwa tunaambiwa? Au labda walikuwa bado anga la duniani?
Hata kama walikuwa anga la duniani, vipi vile vyombo wanavyotuma nje ya mfumo wa dunia? Vinarudije wakati tumefundishwa kitu kikiwa nje ya mfumo wa dunia hakiwezi kurudi duniani bila kuungua kutokana na mvutano mkali pamoja na msuguano wa hewa iliyo duniani?
Wataalamu tafadhali nisaidieni.
Dunia huwa inazunguka pamoja na anga lake,yaani kama upo angani Dar basi wakati dunia inazunguka maana yake utakuwa hapohapo angani Dar!Hivi akiruka Hafu dunia ikazunguka Akajikuta katua Lile bara la Barafu tupu.
Kama ni hivyo, basi umemaliza dukuduku langu. Maana nilihofia akaangukia kambi ya Boko haramuDunia huwa inazunguka pamoja na anga lake,yaani kama upo angani Dar basi wakati dunia inazunguka maana yake utakuwa hapohapo angani Dar!