Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

old news. she died a while back due to heart attack in 2008 at 2 months old. I saw the story on NatGeo
 
cowboy-cafe-barnyard-burger-685x1024.jpg


Hii kitu ndo naanza kuirarua mida hii
 
Ndo tunavyosisitiza madarasani saivi, tunataka tuwe na taifa la wasanii kama mkulu, Wapi mwl. mwenzangu gfsonwin!!?
 
nyomi nyomiiiii utatuuwa wengine amboa hatuna access na fresh meet lol
 
Mbuzi Mzee , hiyo nyamachoma sio ya punda lakini....so I can save my saliva?
 
Last edited by a moderator:
Paja moja la kuku silioni hapa; au ndo lilikuwa linatumika?
 
Nadhani wako katika utawala binafsi baada ya mgeni rasmi kuondoka.
 
Back
Top Bottom