Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

558340_10151063822071880_744310952_n.jpg
Gender balance at work, hapo bado kujipandikiza kisiki ili wafanane nacc.
 
sasa mkojo ukitoka mwingi kuliko uwezo wa icho ki she-wee itakuwaje
 
jamani wakuu! thread imesema RAHA YA KUPENDA, sasa sio kila kupenda no demu tu, hata baba,mama,rafiki n.k bia,bangi nk waweza zipenda! mana naona watu wote wamekimbilia kwenye bmambo yetu tu! huyu anaweza kuwa bibi na mjukuu! au majirani, na hii raha ya kupenda, inaweza ikawa jamaa anapenda kupika!
 
watu wanajua kupenda ni kwa ajili ya yale mambo yetu tu.
 
MAGAZIJUTO = 1
Mbuzi Mee, Usirudie kuuliza great thinkers such simple Maths, unatupunguzia uwezo wa kufikiri. OK?
 
Back
Top Bottom