Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

Australia Jinsi wanavyo tumia Wanyama wao,

Kumbe wewe ni M.K.W.E.R.E

mkulu, kaninyang'anya ukubwani! mimi nimeanza nako, enzi zetu zileee! na mishe za ujana ujanani.washika dau ndo wakaninyang'anya bana. SI UNAJUA PESA IMESOMEA UDEREVA INAENDESHA HADI MAPENDZI,TENA KWA CLASS C.
 
387019_481343011893214_21548625_n.jpg

Mkuu umefanya nichanganyikiwe ghafla, maana huku nilipo basi tu ni siri yangu
 
Ili iweje? Huko nikuwazalilisha wanawake kana kwamba ku-she umekaa kunamfanya mmke inferior! Lazima ku-acknowdlege physiological differences
 
Mmoja ya mazoezi, Kiduku kinasaidia kuukuza ubongo wake..
 
Sio ajabu siku ya mtihani akaandika nyimbo za viduku!
 
Duuh!!!! Haya bana yangu mi macho,
tofauti zinazidi kupungua,sasa wameweza kujisaidia haja ndogo wima!!! Hongera kwao
 
Sawa tu nyie wa kwenu si mnawapandisha ndege kwenda ughaibuni!
 
Mbona fisi kule usukumani wanafanya kazi nzuri tu usiku.
 
Back
Top Bottom