mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
Musevenis idea
The formation of the committee was informed by President Musevenis proposal that the Libya crisis was an African problem that called for an AU solution with the assistance of the wider international community.
nimekuja amini kuwa kuna baadhi ya waafrika wana mambo ya ajabu. nikuulize ni wananchi gani wanauliwa je hao wanauliwa wamafenya kosa gani na je wanadai nini?
long live gaddafi fungulia maghala watu wachukue silaha wapambaje na wavamizi
Mpevu namimi ninafira hiyo hiyo inanisumbua kichwani! Sio kwamba namwunga mkono Ghadafi kuwauwa raia, hapana lakini je hawa mabwana wakubwa hawawaoni raia wa kizomali wanavyoendelea kuuwawa kwa miaka yote hiyo?
Mpevu namimi ninafira hiyo hiyo inanisumbua kichwani! Sio kwamba namwunga mkono Ghadafi kuwauwa raia, hapana lakini je hawa mabwana wakubwa hawawaoni raia wa kizomali wanavyoendelea kuuwawa kwa miaka yote hiyo?
Nimekuja kugundua nafikiri hata wazungu wamegundua wakoloni waliondoka mapema Afrika kabla ya akili zetu kukomaa ndiyo maana wanarudi kutufundisha upya, mimi nasema acha waje.Lengo la Western kuwakamata kiakili limetimia...bwana mkubwa inama ufikiri,kwanini nchi za kiarabu? Ni mambo mangapi yanafanyika kinyume na utaratibu halisi kwenye nchi zisizo na maslah kwa wamagharibi yanafumbiwa macho? Kwanini unaowaonea huruma wasingeona ubaya wa Gadafi tokea awali...nani yuko nyuma ya haya? Kwa faida ya nani?
Km mtaamua kutumia akili zenu kutafakari mtagundua dhahiri kuna wish huyu bwana anatakiwa kugrant...
Wamezuiwa kwa sababu za kiusalama, ila wao hawataki kusema. Kama wako serious si watumie magari.
In a toilet!!!!:A S embarassed::shock::embarassed2:Where is AU?
shame on AU.
Twende mbele turudi nyuma. Hivi Gadaffi alikuwa akiwashambulia waandamanaji au waasi? Libya kuna waasi walijitenga huko Benghazi na si waandamanaji. Waandamanaji gani wanakuwa na silaha na ndege za kivita? Juzi walenga shabaha wa Yemen wamewalenga waandamanaji na kuua makumi hatujasikia UN ikitoa Azimio!! Azimio la hao UN ni no fly zone lakini Marekani na mabeberu wenzake wanashambulia makazi ya Gadaffi na raia wasio na hatia, huo ni ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu!! Huko Somalia raia wasio na hatia wanauawa kila kukicha lakini Mabeberu wanaangalia tu kwa kuwa hakuna maslahi. Marekani na mabeberu wenzake wanataka ku justify ili waishambulie Iran si vinginevyo. Afrika tusipokuwa makini tutatawaliwa na hao wajua haki za binadamu ambazo nazo zinachagua, Libya na siyo yemen!!